Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Mbona kwa haraka umewajibia Mods..!!Yeah Mods wameifuta..
Ebu basi tuambie kwanini imefutwa...??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kwa haraka umewajibia Mods..!!Yeah Mods wameifuta..
Pole mkuu nadhani Uzi Mods wameufutaa...!!Naitafuta pia sijaiona. Ila mpaka muda huu, nashukuru kuna jamaa amesema nikae kwake, na mpaka muda huu niko kwake. Ni Maeneo yanaitwa "Magari Saba"
Uzi ukifutwa ukitaka Kuangalia HUUKUTI kama ulicomment kwenyw ule uzi au uliletewa Notification yoyote kuhusu ule uzi jaribu kuufunguaa...Mbona kwa haraka umewajibia Mods..!!
Ebu basi tuambie kwanini imefutwa...??
Kwa sasa hata ukifutwa, sidhani kama ni tatizo sana. Kuna jamaa kanipokea, na mpaka muda huu niko nyumbani kwake "magari saba"
Mtafute yule Jamaa wa Barakuda leo, akusaidie kazi. jana nilimpa namba yako kasema kakutumia namba yake PM na kwenye msg ya kawaida.Kwa sasa hata ukifutwa, sidhani kama ni tatizo sana. Kuna jamaa kanipokea, na mpaka muda huu niko nyumbani kwake "magari saba"
pole ukikosa kazi niambie uje tulime wote mkurangaKwa sasa hata ukifutwa, sidhani kama ni tatizo sana. Kuna jamaa kanipokea, na mpaka muda huu niko nyumbani kwake "magari saba"
Mkuu, hata nami najua na nimestaajabu kuona uzi ule umefutwa.Uzi ukifutwa ukitaka Kuangalia HUUKUTI kama ulicomment kwenyw ule uzi au uliletewa Notification yoyote kuhusu ule uzi jaribu kuufunguaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani zile lawama za kudai jamaa anaweza kuwa tapeli ndo zimapelekea hiyo ishuu...Mkuu, hata nami najua na nimestaajabu kuona uzi ule umefutwa.
Lakini nilicho jiuliza ni kwamba... kwanini jamaa aliwahi kwa haraka kuwajibia mods kwamba wameufuta..!!
Basi sawa kama wamekufa, najiuliza/nauliza ni sababu zipi hasa zenye zimefanya wakaufuta...??
Je kuna mtu amekwazwa na ule uzi hata ikapelekea mods kufuata...??
Je kuna jambo hatarishi ama mtu hataraishi hata kupelekea uzi ule kufutwa...??
Anyway....
Nimejikuta najiuliza maswali mengi yenye yamekosa majibu wallah
Sawa mkuu hongera na polee sana...Kwa sasa hata ukifutwa, sidhani kama ni tatizo sana. Kuna jamaa kanipokea, na mpaka muda huu niko nyumbani kwake "magari saba"
Nashukuru hifadhi nimepata, na muda huu niko "Magari Saba", member aliye karibu, anaweza kuja tukutane.Nadhani zile lawama za kudai jamaa anaweza kuwa tapeli ndo zimapelekea hiyo ishuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, asante kwa ufafanuziNadhani zile lawama za kudai jamaa anaweza kuwa tapeli ndo zimapelekea hiyo ishuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si kakimbia kulima kwao huko Kibondo?
Nashukuru hifadhi nimepata, na muda huu niko "Magari Saba", member aliye karibu, anaweza kuja tukutane.
Mods washafanya yao. Vipi kijana anaendeleaje?!!Daah nimeamka kuendelea na Episodes nakuta hola!
Hata sielewi, ndiyo kwanza nafika hapa.Mods washafanya yao. Vipi kijana anaendeleaje?!!