Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

So kweli, Mimi ni member toka 2011
 
Lengo la thread hii kudharirisha Waha.
Pia ili wimbi la Wahi kuhama Kigoma na kukimbilia Dar na sehemu zingine limekuwa kubwa mno
We jamaa shika adabu yako!Sisi hatujaanza kuhama kigoma leo.Tangu enzi za utumwa tuliamishw kutoka kongo nk kuletw kigoma na sehemu mbalimbali za dunia.watu w kigoma wamehamiaDar na miji mbali mbali wakati makabila mengine yakiwa maporini sana ndio maana ni watu w kigoma walioweza kumiliki maeneo sehemu kama kariakoo, miji yote ta mwanza, Tabora, Morogoro nk.Acha kutukana watu waliokuzidibakili tangu zamani.
 
Hii picha kapigwa akiwa kwenye gari ya mega pixel akipelekwa kituo cha daladala. Tuliza roho mbaya yako watu wamsadie kijana. Hata matapeli wanastahili msaada, kuna watu wamejitokeza na kuapiza kuwa akileta usaniii labda ahame nchi, watamsakua mpaka arudishe pesa za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…