Waooohh!! Mungu Ambariki mwenyeji jamani.Mkuu, wewe umejitambulisha, ila walio wengi, japo sio wote, Hawajitambulishi. Naimani mama umenhelewa, na muda huu huyu mwenyeji wangu ameniambia twende kazini kwake. Asanteni
Ongeza na Cookie@Mod
Paw
Invisible
JamiiForums
Maxence Melo
Tunaomba ufafanuzi kwanini mmefuta Uzi wa kijana huyu kama kuna tatizo tufaamishwe ili tuweze kumshughulikia kama anavyostahili.
Siwezi kesha kumbe kuna tatizo somewhere afu nkalicha lipite hivihivi, labda nife kabla sijajibiwa. Impossibility inaweza kuja PM
Ndiyooulimpgia?
wasije wakafyeka na huu,maana leo tunahamia hapa niko na pen na karatasi nataka niitengenezee movie hii storySi bora wangeuunganisha huku?
We jana ulilala muda gani?? Ulikuwa safarini umerudi umechoka. Asubuhi na mapema nakuona hapa mkuu unafuatilia episode.sasa tuliza akili huko mjini mdogo wangu..usiingie kwenye makundi utajikuta unaishia kuwekwa lockup mbezi pale..changamka jitume kaa bidii utatoka
Nakuzoom nakuzoom mkuudahh jaman siriz yetu imefyekelewa mbali[emoji21][emoji21][emoji21]
We jana ulilala muda gani?? Ulikuwa safarini umerudi umechoka. Asubuhi na mapema nakuona hapa mkuu unafuatilia episode.
Naendelea hapo chini...
Uzi wameufyekelea mbali naona wameuunganisha huku kwenye treiler ya series yetu episode ya leo tungejua kama jana alipelekewa maji ya kuoga na kupikiwa wali.... Sijui nini kiliendelea jana usiku kwa mwanaume wa dar na wa kigoma. Unaweza kuimagine eti[emoji23][emoji23] japo kidogo eti....!!hahahaja nimelala saa 7 hv mkuu..bado nipo safarini mkuu..
endelea hapo chini[emoji23][emoji23]
Uzi wameufyekelea mbali naona wameuunganisha huku kwenye treiler ya series yetu episode ya leo tungejua kama jana alipelekewa maji ya kuoga na kupikiwa wali.... Sijui nini kiliendelea jana usiku kwa mwanaume wa dar na wa kigoma. Unaweza kuimagine eti[emoji23][emoji23] japo kidogo eti....!!
Naendelea hapo chini...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi naimagine tu hapa eti.[emoji23][emoji23][emoji23] ww una lako jambo..na km ni mtego au umetumwa siwez kulijibu hili[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi naimagine tu hapa eti.
Naendelea hapo chini...