Mane huyu dogo ni level za TANZANIA ONE nakwambia. Huyo jamaa aliempokea ampeleke kwa ERIC SHIGONGO wakatunge hadithi zile za THE PRESIDENT LOVES MY WIFE.[emoji23][emoji23][emoji23]ila dogo yupo vzr..eti darasa la 7..bas alikua bright kichwan anaandika poasana
Nimekutana na jamaa kijitonyama shule, ninathibitisha jamaa ana uhitaji aisee, na wala siyo tapeli wala furahisha genge, sina kazi ya kumpa ila nimemsaidia kumpeleka kituoni makumbusho na kumpandisha gari la segerea ili ashuke hapo baracuda, aliye na nia ya kumsaidia amsaidie, nimeambatanisha pixha yake amenipa ruhusa ya kufanya hivyo ili mumuaminiView attachment 985989
Sent using Jamii Forums mobile app
Mane huyu dogo ni level za TANZANIA ONE nakwambia. Huyo jamaa aliempokea ampeleke kwa ERIC SHIGONGO wakatunge hadithi zile za THE PRESIDENT LOVES MY WIFE.
Naendelea hapo chini...
Mwenyeji wangu kanipeleka sehemu ili kuniombea nafasi ya kufanya kazi kwenye banda la chips, ila tumekuta nafasi hakuna. Niombeeni wakuu!
mimi zaidi mkuu
Bado anatunga mkuu ila sio kali kama zile za mwanzo ikiwemo ile MY DEAD BODY IN MY OWN COFFIN. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenivunja mbav mie hahaja ile stry ya shigongo jaman iliuzaaa...dah.hv nado anatunga hadithi?
endelea hapa chini
Kwa hiyo huko magari saba kinaendelea nini?Mwenyeji wangu kanipeleka sehemu ili kuniombea nafasi ya kufanya kazi kwenye banda la chips, ila tumekuta nafasi hakuna. Niombeeni wakuu!
nimekusaka noma nikaona acha niendelee tu hapa Chini,,,,engineer somaa ukoo,,,tupo episode ya ngapiiNakuzoom nakuzoom mkuu
Naendelea hapo chini...
Bado anatunga mkuu ila sio kali kama zile za mwanzo ikiwemo ile MY DEAD BODY IN MY OWN COFFIN. [emoji23][emoji23][emoji23]
Naendelea hapo chini...
Mmmmnhhhhh... Huu ushauri inabidi tuufanyie analysis etitena umenikumbusha..ww omba hela humu uanze kuuza chips mkuu..
πππππnimekusaka noma nikaona acha niendelee tu hapa Chini,,,,engineer somaa ukoo,,,tupo episode ya ngapii
hhahahaa... ht mie ninauwezo wa kufanyia analysis mkuu..Mmmmnhhhhh... Huu ushauri inabidi tuufanyie analysis eti
Naendelea hapo chini...
Hahahah uzi wetu wameufuta wameturudisha kwenye trailer bahana series yetu. Halafu wewe jana ulillala mapema sana why???nimekusaka noma nikaona acha niendelee tu hapa Chini,,,,engineer somaa ukoo,,,tupo episode ya ngapii
Wewe sasa hivi fanya kazi utarudi jioni,sisi tunaendeleza huko chiniWameuunganisha!
mkuu alizopata Jana hazitoshitena umenikumbusha..ww omba hela humu uanze kuuza chips mkuu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwenye bus nimecheka sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuendelee mkuuWewe sasa hivi fanya kazi utarudi jioni,sisi tunaendeleza huko chini
bas aanzishe hyo biashara..tena huko hukk.magari 7mkuu alizopata Jana hazitoshi