Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Ahsante kwa mrejesho mkuu, mimi nilikuwa nasitasita.

Nimekutana na jamaa kijitonyama shule, ninathibitisha jamaa ana uhitaji aisee, na wala siyo tapeli wala furahisha genge, sina kazi ya kumpa ila nimemsaidia kumpeleka kituoni makumbusho na kumpandisha gari la segerea ili ashuke hapo baracuda, aliye na nia ya kumsaidia amsaidie, nimeambatanisha pixha yake amenipa ruhusa ya kufanya hivyo ili mumuaminiView attachment 985989

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mane huyu dogo ni level za TANZANIA ONE nakwambia. Huyo jamaa aliempokea ampeleke kwa ERIC SHIGONGO wakatunge hadithi zile za THE PRESIDENT LOVES MY WIFE.

Naendelea hapo chini...

😂😂😂😂umenivunja mbav mie hahaja ile stry ya shigongo jaman iliuzaaa...dah.hv nado anatunga hadithi?

endelea hapa chini
 
nimekusaka noma nikaona acha niendelee tu hapa Chini,,,,engineer somaa ukoo,,,tupo episode ya ngapii
Hahahah uzi wetu wameufuta wameturudisha kwenye trailer bahana series yetu. Halafu wewe jana ulillala mapema sana why???

Naendelea hapo chini...
 
Back
Top Bottom