On contrary.. nadhani umewasilisha ujumbe wako kwa busara na kiutu uzima lakina kuna jambo zaidi umeligundua ambalo ni negative na umeamua usiliweke hapa kwa maslahi mapana ya mashabiki wa mleta uzi
As cor me, from HR point of view naweza kusema yafuatayo
Kwanza mleta uzi ni mtu wa majigambo na asieweza kujishusha...unajua the way mtu anavyorespond kwenye baadhi ya comments na reactions zake towards wale anaowaomba msaada unapata kumsoma na kujua kiwango chake cha uvumilivu
jamaa hapendi kukosolewa..i mean negative comments kutoka hapa jamvini na kwa maana hiyo hana uvumilivu...napata. mashaka kama ataweza kujishusha kwenye ajira atakayoipata na kukubali kuelekezwa,kujifunza na kubwa zaidi kujifanya mjinga alimradi atimize malengo yake
Mengine ntaendelea hapo chini
Sent using
Jamii Forums mobile app