Professional analysis.
To add-up, nimekuwa moja ya watu ambao nimemshauri mara kadhaa kutojibu negative comments bila mafanikio, majibu kama akili kisoda, uchumi wa viwanda, nk kuelekea kwa critics ni dalili za ulichosema.
Pia namwona kama ni mtu ana haraka sana kwenye kutoka, ni mtu ambaye usiweke naye malengo ya muda mrefu, hustlers never settle, this is one of them.
Ushauri; Mpaka dakika hii ameshakuwa famous in a way (hapa JF), so akipata kazi aifanye kweli, na ikibidi habari za ku-expose nini anafanya kwa nani zisiwepo (ajitahidi kukomaa na kujifunza kazi).
Ila akipata kazi akaendelea kuhangaika kutafuta kazi tena atajikuta anahama hama kabla ya kushika kitu cha maana, ajiwekee malengo. Vinginevyo atajikuta anaingia kwenye matatizo.