scientist_tz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 605
- 899
Chini ya wapi[emoji23][emoji23]malizia kwa hapa chini bas
Nazijua chini mbili ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chini ya wapi[emoji23][emoji23]malizia kwa hapa chini bas
😂
Natamani nikuone hata kwa mbaliiiNausoma Uzi nikiwa kwa Mzee wa fyekelea mbali,naufatilia Uzi kama Isidingo
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi huyu steringi nae hajarudi hapa😂😂malizia kwa hapa chini bas
Sawa mkuu, nitafanya kadri iwezekanavyo!
Nakutakia kazi njema mkuu na hakika utafanikiwa,Sawa mkuu, nitafanya kadri iwezekanavyo!
😂😂😂stering yup kibaruan..hivi huyu steringi nae hajarudi hapa
Naendelea hapo chini👇👇👇
Natarajia kwenda kesho kaka!Nakutakia kazi njema mkuu na hakika utafanikiwa,
Kwani umeshafika huko bagamoyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]stering yup kibaruan..
namalizia hapa chin...
jf never boring aisee[emoji23][emoji23]
Dada samahani sana hiyo Avater ni wewe kama ni wewe?Mnanichekesha na hiyo namalizia chini[emoji23][emoji23][emoji23]
hapana mkuu sio mimiDada samahani sana hiyo Avater ni wewe kama ni wewe?
Nitaandika hapa chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
yaan huyu bhagvan ananichosha mm jaman😂😂😂Mnanichekesha na hiyo namalizia chini[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi natamani kupiga picha na kijana niitunze kama shujaa ambaye haogopi fedheha katika kutafuta.
Ungeweza kuwa mwizi, jambazi nk. Lakini umechagua njia ya kudhalilika lakini ufikie ndoto zako. Ni wachache sana wenye udhubutu wa namna hii.
Halafu watu bado mnapiga kelele kijana ni tapeli ni mwongo.
Ametoa mawasiliano yake na pia sehemu ambayo yupo, je ni nani kaenda hajamkuta? Acheni kukatisha watu tamaa. Mbona nilivyofuatilia nimegundua hajifichi na yupo radhi kukutana na yeyote?
Halafu nyie mnaosema I'd mpya zinamsuport sijui za 2018 acheni utoto. Kwahiyo hizo I'd zote ni zakwake au?
Mara usalama wa taifa,[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]nani awateke nyie wenyewe mnashinda majukwaa ya udaku na mapenzi[emoji119][emoji119].
Kila la kheri age mate wangu. Hongera kwa udhubutu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo siyo kila comment lazima uijibu.