Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Mimi natamani kupiga picha na kijana niitunze kama shujaa ambaye haogopi fedheha katika kutafuta.
Ungeweza kuwa mwizi, jambazi nk. Lakini umechagua njia ya kudhalilika lakini ufikie ndoto zako. Ni wachache sana wenye udhubutu wa namna hii.
Halafu watu bado mnapiga kelele kijana ni tapeli ni mwongo.
Ametoa mawasiliano yake na pia sehemu ambayo yupo, je ni nani kaenda hajamkuta? Acheni kukatisha watu tamaa. Mbona nilivyofuatilia nimegundua hajifichi na yupo radhi kukutana na yeyote?
Halafu nyie mnaosema I'd mpya zinamsuport sijui za 2018 acheni utoto. Kwahiyo hizo I'd zote ni zakwake au?
Mara usalama wa taifa,[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]nani awateke nyie wenyewe mnashinda majukwaa ya udaku na mapenzi[emoji119][emoji119].
Kila la kheri age mate wangu. Hongera kwa udhubutu.


Sent using Jamii Forums mobile app


😂😂😂😂 we mtoto umepotelea wapi jaman😂😂😂huwa napenda unavyoandika humu😂😂tuliwaj badilishana pic pm upo km kamdoli😂😂😂 namis stry zako mnooo😂😂 nikikumbuka ile ulotaka kukabwa dar mie hoiii😂😂😂hawajnambo zenji dogo..i miss u😍😍😍
 
Dogo siyo kila comment lazima uijibu.

wewe huenda hukumwelewa

alikua anamjibu yule aliyesema anajikweza akasema kazi itatoa majibu yenyew km anajikweza..jaman ht km.ndo mtafta kibarua msimuumize hisia namna hii mbnmie namuona poa tu?yaan hy km.ndo hana kitu asijibu jaman?msipende kuweka kamsyari ka mwenye nacho na asiye nacho.jaman..BINADAMU WOTE SAWA..ukiheshim hisia za huyu dogo naye ataheshimu..juu mlimwita tapeli sasa hv mnamwita ana majibu ..khaa wabongo mie👎

namalizia kwa hapa.chini
 
Back
Top Bottom