Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Kuna mtu amesema mimi ninajikweza, ndiyo maana nikamwambia kuwa, mwenye kazi ataleta mrejesho hapa, kama ninajikweza au sijikwezi. Naimani nimeeleweka hapo. Samahani kwa kunielewa tofauti. Asante!

Dogo siyo kila comment lazima uijibu.
 
Professional analysis.

To add-up, nimekuwa moja ya watu ambao nimemshauri mara kadhaa kutojibu negative comments bila mafanikio, majibu kama akili kisoda, uchumi wa viwanda, nk kuelekea kwa critics ni dalili za ulichosema.

Pia namwona kama ni mtu ana haraka sana kwenye kutoka, ni mtu ambaye usiweke naye malengo ya muda mrefu, hustlers never settle, this is one of them.

Ushauri; Mpaka dakika hii ameshakuwa famous in a way (hapa JF), so akipata kazi aifanye kweli, na ikibidi habari za ku-expose nini anafanya kwa nani zisiwepo (ajitahidi kukomaa na kujifunza kazi).

Ila akipata kazi akaendelea kuhangaika kutafuta kazi tena atajikuta anahama hama kabla ya kushika kitu cha maana, ajiwekee malengo. Vinginevyo atajikuta anaingia kwenye matatizo.
Ni kweli kabisa kama anautambuzi haya maneno ni mujadabu sana na ayatunze kwenye moyo wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kurunzi habari mkuu, nafikiri kuna watu walisema kuwa dogo anajikweza, naye ndo akajibu hivyo hakumaanisha wewe, ila mkuu nakuomba msaidie dogo unapoweza na umuelekeze pia ila usianze kumtilia mashaka mapema kabla hamjaonana.

Huu uzi naufatilia sana kimya kimya.

Ninachoweza kusema dogo ana uthubutu wa hali ya juu na katumia vizuri forum hii kutimiza ndoto yake ya kufika dar na kupata kazi.
Asante kwa kunifuatilia na kunielewa, Asante na Shukrani kwa kunisaidia kujibu.!
 
Mkuu huyo muongo nimemwambia anipe namba hajanipa wala kufika kweli anacheza na akili zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona muda analalamika hakuoni hukuja kusema jambo humu,,,. Hata humu ulipotea, . muache ajitaftie maisha,,kama hakuweza kumuona acha aendelee kuhangaika mbele kwa mbele,, ungekua muungwana muda ule ungesema jambo hata humu jf
 
Kurunzi habari mkuu, nafikiri kuna watu walisema kuwa dogo anajikweza, naye ndo akajibu hivyo hakumaanisha wewe, ila mkuu nakuomba msaidie dogo unapoweza na umuelekeze pia ila usianze kumtilia mashaka mapema kabla hamjaonana.

Huu uzi naufatilia sana kimya kimya.

Ninachoweza kusema dogo ana uthubutu wa hali ya juu na katumia vizuri forum hii kutimiza ndoto yake ya kufika dar na kupata kazi.

Sure, ni big courage.
 
Mbona muda analalamika hakuoni hukuja kusema jambo humu,,,. Hata humu ulipotea, . muache ajitaftie maisha,,kama hakuweza kumuona acha aendelee kuhangaika mbele kwa mbele,, ungekua muungwana muda ule ungesema jambo hata humu jf

Alijua dogo anatania, kwa hiyo dogo alivyofika ikabidi ajifiche. Msome between lines utamwelewa lengo lake lilikuwa nini.
 
Wakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
Msaada wangu mie huo wapigie simu wakupe muongozo
IMG-20190105-WA0057.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maneno hupaswi kuyatumia anajikweza maana yake nini kwanini ajikwezwe kwako lengo likiwa nini? Ninakusadia kwa roho nyeupe tukishindwana nakupiga chini naona unaanza shidankabla hata kazi ujapata..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ni proffesional HR, kama umesoma comment yangu hapo juu, huyu jamaa responce zake zinatia shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Professional analysis.

To add-up, nimekuwa moja ya watu ambao nimemshauri mara kadhaa kutojibu negative comments bila mafanikio, majibu kama akili kisoda, uchumi wa viwanda, nk kuelekea kwa critics ni dalili za ulichosema.

Pia namwona kama ni mtu ana haraka sana kwenye kutoka, ni mtu ambaye usiweke naye malengo ya muda mrefu, hustlers never settle, this is one of them.

Ushauri; Mpaka dakika hii ameshakuwa famous in a way (hapa JF), so akipata kazi aifanye kweli, na ikibidi habari za ku-expose nini anafanya kwa nani zisiwepo (ajitahidi kukomaa na kujifunza kazi).

Ila akipata kazi akaendelea kuhangaika kutafuta kazi tena atajikuta anahama hama kabla ya kushika kitu cha maana, ajiwekee malengo. Vinginevyo atajikuta anaingia kwenye matatizo.
Umesema kweli kabisa, mimi nina madhaka sana na huyu bwana kutokana na majibu yake, nadhani hata kazi hatafanya atakua busy mitandaoni kujibizana, he doesnt sound kama mtu mwenye uhitaji at all

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natamani kupiga picha na kijana niitunze kama shujaa ambaye haogopi fedheha katika kutafuta.
Ungeweza kuwa mwizi, jambazi nk. Lakini umechagua njia ya kudhalilika lakini ufikie ndoto zako. Ni wachache sana wenye udhubutu wa namna hii.
Halafu watu bado mnapiga kelele kijana ni tapeli ni mwongo.
Ametoa mawasiliano yake na pia sehemu ambayo yupo, je ni nani kaenda hajamkuta? Acheni kukatisha watu tamaa. Mbona nilivyofuatilia nimegundua hajifichi na yupo radhi kukutana na yeyote?
Halafu nyie mnaosema I'd mpya zinamsuport sijui za 2018 acheni utoto. Kwahiyo hizo I'd zote ni zakwake au?
Mara usalama wa taifa,[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]nani awateke nyie wenyewe mnashinda majukwaa ya udaku na mapenzi[emoji119][emoji119].
Kila la kheri age mate wangu. Hongera kwa udhubutu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema kweli kabisa, mimi nina madhaka sana na huyu bwana kutokana na majibu yake, nadhani hata kazi hatafanya atakua busy mitandaoni kujibizana, he doesnt sound kama mtu mwenye uhitaji at all

Sent using Jamii Forums mobile app

He just sounds that, lakini uhitaji anao.

Akipata kutuliza kichwa atatoboa, he is young and he has courage. Anahitaji kuweka akili kwenye kazi atakayokuwa ameipata.
 
Kwa kumalizia, acheni masimango.
Eti kwa sababu ana shida ashindwe hata kupiga chafya?
Naamini mwenye nia ya kumsaidia atamsaidia kweli.
Comments karibia 2k nusu yake ni masimango na msaada hamtoi.[emoji13][emoji42].
Kuna mtu kasema eti dogo picha yake anacheka hivyo ni mchezo.
Jamani nani kasema kisa umelala njaa ndiyo usinawe uso? Wengine tabasamu kwao ni kawaida hata kama Ana shida.

Nitaendelea hapo chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom