Nilichogundua jamaa ni kweli anahitaji msaada tumsapoti kwa nguvu zote.....(no more drama)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi nimekuelewa vizuri sana mkuu. Na jibu lako hili una haki ya kujibu hivyo. Respect mzee babaNilichogundua jamaa ni kweli anahitaji msaada tumsapoti kwa nguvu zote.....(no more drama)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnazingua sanaa sasa simu yangu haitoshi...Mimi binafsi nimekuelewa vizuri sana mkuu. Na jibu lako hili una haki ya kujibu hivyo. Respect mzee baba
Naendelea hapo chini...
😆Mimi binafsi nimekuelewa vizuri sana mkuu. Na jibu lako hili una haki ya kujibu hivyo. Respect mzee baba
Naendelea hapo chini...
Haahhaaaa ni kama bongo movie mkuu.
Umemkimbiza Mega pixel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
On contrary.. nadhani umewasilisha ujumbe wako kwa busara na kiutu uzima lakina kuna jambo zaidi umeligundua ambalo ni negative na umeamua usiliweke hapa kwa maslahi mapana ya mashabiki wa mleta uziNilichogundua jamaa ni kweli anahitaji msaada tumsapoti kwa nguvu zote.....(no more drama)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina zawadi yako PM fanya kuchungulia. Halafu uendelee hapo chiniOn contrary.. nadhani umewasilisha ujumbe wako kwa busara na kiutu uzima lakina kuna jambo zaidi umeligundua ambalo ni negative na umeamua usiliweke hapa kwa maslahi mapana ya mashabiki wa mleta uzi
As cor me, from HR point of view naweza kusema yafuatayo
Kwanza mleta uzi ni mtu wa majigambo na asieweza kujishusha...unajua the way mtu anavyorespond kwenye baadhi ya comments na reactions zake towards wale anaowaomba msaada unapata kumsoma na kujua kiwango chake cha uvumilivu
jamaa hapendi kukosolewa..i mean negative comments kutoka hapa jamvini na kwa maana hiyo hana uvumilivu...napata. mashaka kama ataweza kujishusha kwenye ajira atakayoipata na kukubali kuelekezwa,kujifunza na kubwa zaidi kujifanya mjinga alimradi atimize malengo yake
Mengine ntaendelea hapo chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo huna elimu kichwani,, ebu Anglia ulivyoandika ww na nilivyoandika mimi,, we umeandika sentesi,, mi nimeandika jinamkuu samahan huwa napatwa na kaukakasj kusoma jina lako..kwann mwanza mbaya? nahuku wengune tunataman tukaishi huko
Namsubiri mtu ameniambia saa nane jioni/alasiri atanipigia anielekeze niende kwake kuhudumia mifugo, atakupatia mrejesho. Kama najikweza au vipi!On contrary.. nadhani umewasilisha ujumbe wako kwa busara na kiutu uzima
Kwanza mleta uzi ni mtu wa majigambo na asieweza kujishusha...unajua the way mtu anavyorespond kwenye baadhi ya comments na reactions zake towards wale anaowaomba msaada unapata kumsoma na kujua kiwango chake cha uvumilivu
jamaa hapendi kukosolewa..i mean negative comments kutoka hapa jamvini na kwa maana hiyo hana uvumilivu...napata. mashaka kama ataweza kujishusha kwenye ajira atakayoipata na kukubali kuelekezwa,kujifunza na kubwa zaidi kujifanya mjinga alimradi atimize malengo yake
Mengine ntaendelea hapo chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi niendelee hapa hapa?Umemkimbiza Mega pixel [emoji23][emoji23][emoji23]
Naendelea hapo chini...
Endelea mzee baba ni mwendo wa chini kwa chiniNa mimi niendelee hapa hapa?
Sawa mkuu, we endelea hapo chini wala usiwe na wasiwasi, hii ndio bongoNamsubiri mtu ameniambia saa nane jioni/alasiri atanipigia anielekeze niende kwake kuhudumia mifugo, atakupatia mrejesho. Kama najikweza au vipi!
Ngoja nitulie, ila, Nitaendelea hapo chini.
Hayo maneno hupaswi kuyatumia anajikweza maana yake nini kwanini ajikwezwe kwako lengo likiwa nini? Ninakusadia kwa roho nyeupe tukishindwana nakupiga chini naona unaanza shidankabla hata kazi ujapata..Namsubiri mtu ameniambia saa nane jioni/alasiri atanipigia anielekeze niende kwake kuhudumia mifugo, atakupatia mrejesho. Kama najikweza au vipi!
Ngoja nitulie, ila, Nitaendelea hapo chini.
Togwa linaingiwa na Nzi mapemaaaHayo maneno hupaswi kuyatumia anajikweza maana yake nini kwanini ajikwezwe kwako lengo likiwa nini? Ninakusadia kwa roho nyeupe tukishindwana nakupiga chini naona unaanza shidankabla hata kazi ujapata..
Sent using Jamii Forums mobile app
On contrary.. nadhani umewasilisha ujumbe wako kwa busara na kiutu uzima lakina kuna jambo zaidi umeligundua ambalo ni negative na umeamua usiliweke hapa kwa maslahi mapana ya mashabiki wa mleta uzi
As cor me, from HR point of view naweza kusema yafuatayo
Kwanza mleta uzi ni mtu wa majigambo na asieweza kujishusha...unajua the way mtu anavyorespond kwenye baadhi ya comments na reactions zake towards wale anaowaomba msaada unapata kumsoma na kujua kiwango chake cha uvumilivu
jamaa hapendi kukosolewa..i mean negative comments kutoka hapa jamvini na kwa maana hiyo hana uvumilivu...napata. mashaka kama ataweza kujishusha kwenye ajira atakayoipata na kukubali kuelekezwa,kujifunza na kubwa zaidi kujifanya mjinga alimradi atimize malengo yake
Mengine ntaendelea hapo chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu amesema mimi ninajikweza, ndiyo maana nikamwambia kuwa, mwenye kazi ataleta mrejesho hapa, kama ninajikweza au sijikwezi. Naimani nimeeleweka hapo. Samahani kwa kunielewa tofauti. Asante!Hayo maneno hupaswi kuyatumia anajikweza maana yake nini kwanini ajikwezwe kwako lengo likiwa nini? Ninakusadia kwa roho nyeupe tukishindwana nakupiga chini naona unaanza shidankabla hata kazi ujapata..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maneno hupaswi kuyatumia anajikweza maana yake nini kwanini ajikwezwe kwako lengo likiwa nini? Ninakusadia kwa roho nyeupe tukishindwana nakupiga chini naona unaanza shidankabla hata kazi ujapata..
Sent using Jamii Forums mobile app