Ok Asante kwa jibu basiH
hapana mkuu sio mimi
wewe huenda hukumwelewa
alikua anamjibu yule aliyesema anajikweza akasema kazi itatoa majibu yenyew km anajikweza..jaman ht km.ndo mtafta kibarua msimuumize hisia namna hii mbnmie namuona poa tu?yaan hy km.ndo hana kitu asijibu jaman?msipende kuweka kamsyari ka mwenye nacho na asiye nacho.jaman..BINADAMU WOTE SAWA..ukiheshim hisia za huyu dogo naye ataheshimu..juu mlimwita tapeli sasa hv mnamwita ana majibu ..khaa wabongo mie👎
namalizia kwa hapa.chini
Wenzio tunaomba kazi, wewe unaomba hela! Utaliwa jicho mkuu!
😂😂😂😂 we mtoto umepotelea wapi jaman😂😂😂huwa napenda unavyoandika humu😂😂tuliwaj badilishana pic pm upo km kamdoli😂😂😂 namis stry zako mnooo😂😂 nikikumbuka ile ulotaka kukabwa dar mie hoiii😂😂😂hawajnambo zenji dogo..i miss u😍😍😍
Hahaaa nimeiona ilibidi jibu la Dogo lilinifurahisha sana.Umesomeka.
Hapa chini kuna post yake kwenye thread ya mtu aliyekuwa anaomba msaada, nimeweka na link ya thread.
Nakufa njaa nisaidieni hela ya kula usiku huu - JamiiForums
Ukishasoma toa mtazamo wako hapa.
Hahaaa nimeiona ilibidi jibu la Dogo lilinifurahisha sana.
Dogo yupo sawa waweza kusaidia mtu chakula akatimiza haja yake ya muda huo baada ya hapo atahitaji tena.
Bora umpe mtu ndoano akavue samaki wake kuliko kumpa samaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hy mtoto anaandikaga poa sana yaan ana kaucomed fulan hv😂😂mfatilie threads zake tulipendana akaja pm akanitumia pics..mdoli huyu hapa kazuriiii😂😂😂kaarabu😊😊Ulivyomwaga sifa duh!
Akikujibu mwambie I miss her too.
Naendelea hapo chini.
Hy mtoto anaandikaga poa sana yaan ana kaucomed fulan hv😂😂mfatilie threads zake tulipendana akaja pm akanitumia pics..mdoli huyu hapa kazuriiii😂😂😂kaarabu😊😊
Asante kwa maelezo aisee.
Utamsalimia.
ahahaa Asante sana mkuu
Ndo maana nilisema from HR point of view huyu mtu ni wa kujikweza na kujiona mjuaji, mtu ana shida pengine ana kazi isipokua amekama kwa siku moja kweli unaweza kumjibu hivyo, huyu aise ajiangalie sana, ye mwenyewe katoka kigoma kwao kwa kubangaiza halafu anamletea nyodo mwenzie mwenye shida, anajiona ameshawiniUmesomeka.
Hapa chini kuna post yake kwenye thread ya mtu aliyekuwa anaomba msaada, nimeweka na link ya thread.
Nakufa njaa nisaidieni hela ya kula usiku huu - JamiiForums
Ukishasoma toa mtazamo wako hapa.
Hapana mkuu! Dogo namtete kwa hiyo reply yuko sahihi na siyo reflection ya kujikweza.Ndo maana nilisema from HR point of view huyu mtu ni wa kujikweza na kujiona mjuaji, mtu ana shida pengine ana kazi isipokua amekama kwa siku moja kweli unaweza kumjibu hivyo, huyu aise ajiangalie sana, ye mwenyewe katoka kigoma kwao kwa kubangaiza halafu anamletea nyodo mwenzie mwenye shida, anajiona ameshawini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu! Dogo namtete kwa hiyo reply yuko sahihi na siyo reflection ya kujikweza.
Tafsiri ya jibu lake ni kwamba ktk kutafuta suluhisho ya matatizo uliyonayo kama unalipeleka kwa watu basi peleka tatizo lililokubwa ambalo kutatuliwa kwake kutamaliza matatizo yote madogomadogo.
Huyo alieomba hela tatizo lake la msingi ni kipato cha uhakika. Sasa kwanini asieonyeshe potential yeyote aliyenayo ili watu waone watamsaidiaje?
Nimekubali dogo ni darasa la saba msomi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawataki kukubali kuwa dogo kawazidi katka kujitambua!naunga mkono..sijui kwann watu wamemshupalia hvyo[emoji57]
😷😷😷
Hiyo HR point of view isiwe ukomo wako wa kufikiri. Umeanza kuizungumza muda sana katika uzi huu.Ndo maana nilisema from HR point of view huyu mtu ni wa kujikweza na kujiona mjuaji, mtu ana shida pengine ana kazi isipokua amekama kwa siku moja kweli unaweza kumjibu hivyo, huyu aise ajiangalie sana, ye mwenyewe katoka kigoma kwao kwa kubangaiza halafu anamletea nyodo mwenzie mwenye shida, anajiona ameshawini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na mimi naomba tubadilishane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mtoto umepotelea wapi jaman[emoji23][emoji23][emoji23]huwa napenda unavyoandika humu[emoji23][emoji23]tuliwaj badilishana pic pm upo km kamdoli[emoji23][emoji23][emoji23] namis stry zako mnooo[emoji23][emoji23] nikikumbuka ile ulotaka kukabwa dar mie hoiii[emoji23][emoji23][emoji23]hawajnambo zenji dogo..i miss u[emoji7][emoji7][emoji7]
Tunashukuru kwa mrejesho mkuuFinaly Dogo aise amepata kazi hivi ninavyo zungumza anahudumia mifungo, so far namuona ameifurahia kazi yake na namuona yupo na spirit ya kazi yupo comfortable kafurahia mazingira tuombe Mungu apambane na kazi kwa bidii na uaminifu mkubwa Mungu atamunyooshea njia.
Nitoe shukrani kwa Member wote wa JF walimpigania ili kutimiza lengo lake bila kujalisha waliomtilishaka ama ala kwani huenda kuna kitu atakuwa amekipata na kujifunza yeye binafsi.
Natumaini atakuja hapa kutoa mrejesho yeye mwenyewe.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa mrejesho mujarab kabisa.Finaly Dogo aise amepata kazi hivi ninavyo zungumza anahudumia mifungo, so far namuona ameifurahia kazi yake na namuona yupo na spirit ya kazi yupo comfortable kafurahia mazingira tuombe Mungu apambane na kazi kwa bidii na uaminifu mkubwa Mungu atamunyooshea njia.
Nitoe shukrani kwa Member wote wa JF walimpigania ili kutimiza lengo lake bila kujalisha waliomtilishaka ama ala kwani huenda kuna kitu atakuwa amekipata na kujifunza yeye binafsi.
Natumaini atakuja hapa kutoa mrejesho yeye mwenyewe.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app