Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Dogo nilimpatia kazi kwa kweli ni mchapa kazi haswa hana shida yoyote mpaka sasa, anajitambua na anajua anachokifanya cha msingi ongeze bidii.
 
Dogo nilimpatia kazi kwa kweli ni mchapa kazi haswa hana shida yoyote mpaka sasa, anajitambua na anajua anachokifanya cha msingi ongeze bidii.
honger, akikushind mwambie aje anisaidie kuuz barafu
 
Wakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
Haya mwaka ndio unaisha naomba Feedback

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi siku hizi serikali imewapunguzia mabehewa. Mnasafiri kama mpo jela vile kwenye selo
Hakuna mrejesho wowote, zaidi zaidi hapa niko ndani ya Treni naenda kula Pasaka Kigoma.
 
Back
Top Bottom