Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sauda umenikumbusha mpenzi wangu wa kwanza kabisa ktk maisha yangu,jina lake aliitwa sauda.mifugo gan, ila hongera
mimi cwezi
kwann ulimwachSauda umenikumbusha mpenzi wangu wa kwanza kabisa ktk maisha yangu,jina lake aliitwa sauda.
Nawapenda akina sauda wote.
honger, akikushind mwambie aje anisaidie kuuz barafuDogo nilimpatia kazi kwa kweli ni mchapa kazi haswa hana shida yoyote mpaka sasa, anajitambua na anajua anachokifanya cha msingi ongeze bidii.
Hahaha sawa Saudahonger, akikushind mwambie aje anisaidie kuuz barafu
Habari Jiwe, nilipata kazi ya kuhudumia mifugo, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam hapa.
Kuhusu hali ya maisha kwa sasa, Siyo mbaya.
Haya mwaka ndio unaisha naomba FeedbackWakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
Hakuna mrejesho wowote, zaidi zaidi hapa niko ndani ya Treni naenda kula Pasaka Kigoma.
Dude!!!Hakuna mrejesho wowote, zaidi zaidi hapa niko ndani ya Treni naenda kula Pasaka Kigoma.
Pasaka uwongo😂...vp ulifanikisha wazo lako lakini....Hakuna mrejesho wowote, zaidi zaidi hapa niko ndani ya Treni naenda kula Pasaka Kigoma.
Wamezingua kinoma, nasikia wamepunguza mabehewa, moja hiyo, pia wamepunguza mpaka safari za treni kwenda kigoma.Hivi siku hizi serikali imewapunguzia mabehewa. Mnasafiri kama mpo jela vile kwenye selo