Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

mifugo gan, ila hongera

mimi cwezi
Sauda umenikumbusha mpenzi wangu wa kwanza kabisa ktk maisha yangu,jina lake aliitwa sauda.

Nawapenda akina sauda wote.
 
Dogo nilimpatia kazi kwa kweli ni mchapa kazi haswa hana shida yoyote mpaka sasa, anajitambua na anajua anachokifanya cha msingi ongeze bidii.
 
Dogo nilimpatia kazi kwa kweli ni mchapa kazi haswa hana shida yoyote mpaka sasa, anajitambua na anajua anachokifanya cha msingi ongeze bidii.
honger, akikushind mwambie aje anisaidie kuuz barafu
 
Haya mwaka ndio unaisha naomba Feedback

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi siku hizi serikali imewapunguzia mabehewa. Mnasafiri kama mpo jela vile kwenye selo
Hakuna mrejesho wowote, zaidi zaidi hapa niko ndani ya Treni naenda kula Pasaka Kigoma.
 
Hakuna mrejesho wowote, zaidi zaidi hapa niko ndani ya Treni naenda kula Pasaka Kigoma.
Dude!!!

Pasaka Kigoma?u must be kidding au labda upo kwenye time travel mode,au stress???[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…