Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
shaka mkuuSiku moja tufanye tour tuwe kampani au vipi
Yaani nimemiss hizo safari jaman..dah...tena km una kampani dah..
πππ nimemis kusafiri treni..ika la huku zambia ndo tamu kuliko la mwanza..la mwanza makelele sana waha na wasukuma wakikutanaππUnaanzaje kumiss kampani Mkuu? Nimeona wawili watatu wangependa kampani yako.
πππ nimemis kusafiri treni..ika la huku zambia ndo tamu kuliko la mwanza..la mwanza makelele sana waha na wasukuma wakikutanaππ
hata wazoefu wa huu usafiri wanasema hivyo. Hapa wengine wameshalala tu, Maana treni haina watu kabisa, sijui kwakuwa ni sikukuu!Kwa mwendo huo, tarajia mtafika Tabora saa kumi na moja - kumi na mbili alfajiri.
Hapo mtakaa mkisubiri treni ya kutoka Mwanza ifike ili muunganishe mabehewa kwaajili ya safari ya kwenda Dar.
Hivyo tarajia kuondoka Tabora mida ya saa mbili - tatu asubuhi
Abiria wakisha lala, jiandae kwa mishuzi tu mkuu...tehteehh [emoji12] [emoji12]hata wazoefu wa huu usafiri wanasema hivyo. Hapa wengine wameshalala tu, Maana treni haina watu kabisa, sijui kwakuwa ni sikukuu!
kwahiyo tumejiachia tu kwenye siti "tatu tatu!"
Tupia kapichahata wazoefu wa huu usafiri wanasema hivyo. Hapa wengine wameshalala tu, Maana treni haina watu kabisa, sijui kwakuwa ni sikukuu!
kwahiyo tumejiachia tu kwenye siti "tatu tatu!"
Ni kweli mkuu, hapa nitakuwa naleta update zote.
Nipigane na nani?
umefika wapi sasa kamandaha ha ha! Ananiambia mimi huyo, nipigane na maisha.
Wahenga tumekuelewa mkuu....tehteehh [emoji12] [emoji12] [emoji12]
πππππππUna maanisha manengelo yuko Zambia?
mane unatabasamu zuri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]