Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Kwa mwendo huo, tarajia mtafika Tabora saa kumi na moja - kumi na mbili alfajiri.
Hapo mtakaa mkisubiri treni ya kutoka Mwanza ifike ili muunganishe mabehewa kwaajili ya safari ya kwenda Dar.
Hivyo tarajia kuondoka Tabora mida ya saa mbili - tatu asubuhi
hata wazoefu wa huu usafiri wanasema hivyo. Hapa wengine wameshalala tu, Maana treni haina watu kabisa, sijui kwakuwa ni sikukuu!
kwahiyo tumejiachia tu kwenye siti "tatu tatu!"
 
Abiria wakisha lala, jiandae kwa mishuzi tu mkuu...tehteehh [emoji12] [emoji12]
 
hata wazoefu wa huu usafiri wanasema hivyo. Hapa wengine wameshalala tu, Maana treni haina watu kabisa, sijui kwakuwa ni sikukuu!
kwahiyo tumejiachia tu kwenye siti "tatu tatu!"
Tupia kapicha
 
Back
Top Bottom