Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Lakini watu mna maneno sana,yanachekesha lakini pia yanasikitisha sana nyingine, mtu hana hata sehemu ya kufikia, anaomba kazi,kachukua uamuzi mkubwa, mgumu kabisa katika maisha yake, upo safarini.

Kwa nyuzi kama hizi mtu anapoomba msaada tujaribu kusaidia kama tuna uwezo, banter inaruhusiwa lakini banter na ushauri pia wa maana.. Ushauri wako unaweza kubadilisha maisha ya mtu.

Badala ya kumuonyesha michongo, vitu vya kufanya kupata riziki, labda ajishikishe sehemu, mnapiga story. Tumsaidie mshikaji kama kuna mtu ana uwezo. Mwanzo ni mgumu.
 
Nakushauri nenda Dodoma kuna fursa nyingi za ujenzi,juzi wakandarasi walijiwa juu na waziri mkuu kwanini kasi yao ya ujenzi ipo chini sana wakandarasi wakajibu rasilimali watu hakuna,kwahiyo kuna uhaba mkubwa tu kwa kazi za ukibarua wa ujenzi
Nimekata tiketi ya dar mkuu! Dodoma ningeshuka kama angekuwepo mtu wa uhakika wa kunipatia kazi!
 
Lakini watu mna maneno sana,yanachekesha lakini pia yanasikitisha saa nyingine, mtu hana hata sehemu ya kufikia, anaomba kazi,kachukua uamuzi mkubwa, mgumu kabisa katika maisha yake, upo safarini. Kwa nyuzi kama hizi mtu anapoomba msaada tujaribu kusaidia kama tuna uwezo, banter inaruhusiwa lakini banter na ushauri pia wa maana.. Ushauri wako unaweza kubadilisha maisha ya mtu.

Badala ya kumuonyesha michongo, vitu vya kufanya kupata riziki, labda ajishikishe sehemu, mnapiga story. Tumsaidie mshikaji kama kuna mtu ana uwezo. Mwanzo ni mgumu.
Si hawa akina manengelo? Wambie wanisaidie, waache stori.
 
Wakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
Mkuu una roho ngumu...karibu jijini tupo pamoja
 
Mkuu, Dodoma angekuwepo mtu wa kunipatia kazi, ningeshuka!

kwani ww dar kuna mtu anakuja kukipa kazi?kama umepata kazi bora useme ww unapewa dili unaipotezea kiwepesi tu..unahis dar parahisi eh??mie naendag dar..nafikia tegeta..lakini kutoka trgeta kwemda mjini lazima uwe na 10000/ya usafiri..we endelea kunengeneka tu unataka uende dar
 
Ni kama hatujaelewana mkuu! Nisamehe.
 
Wenzako wapo huko DSM wanauza Kashata na kawaha,wengine wanauza matunda ,wengine wana vioski na maduka madogo madogo,kila la kheri ukishindwa life la DSM karibu Minjingu tuchome mkaa!!!
Sawa mkuu!
 
Back
Top Bottom