ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Lakini watu mna maneno sana,yanachekesha lakini pia yanasikitisha sana nyingine, mtu hana hata sehemu ya kufikia, anaomba kazi,kachukua uamuzi mkubwa, mgumu kabisa katika maisha yake, upo safarini.
Kwa nyuzi kama hizi mtu anapoomba msaada tujaribu kusaidia kama tuna uwezo, banter inaruhusiwa lakini banter na ushauri pia wa maana.. Ushauri wako unaweza kubadilisha maisha ya mtu.
Badala ya kumuonyesha michongo, vitu vya kufanya kupata riziki, labda ajishikishe sehemu, mnapiga story. Tumsaidie mshikaji kama kuna mtu ana uwezo. Mwanzo ni mgumu.