Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wilaya ya buhigwe kaka, kama una kazi hapo Dar, Nisaidie. Kesho ndiyo nafika.
Mimi siyo mtu wa mademu mkuu! Sema nini, niandalie nyama ya kima, maana hapo Salanda kuna nyama Za kila aina. Nasikia tu lakini!
Mkuu amini,usiamini dawa ya kuvuta wateja ipo,hata hao wafanyabiashara wakubwa mfano Mo wanafanya shughuli zao kwakuzngatia ushirikinamajanga haya!hvkweli kuna dawa za biashara??kuna kakangu aliendaga kwa mganga miaka y 2000. alikua mfanyabiashara wa hardware.. Mganga akichomwambia bwana nikaamin waganga wanaakili sana...alimpa dawa za kuoga..then akampiga marufuk starehe na akamwambia asizidishe nguo 5...ss imagine kiuhalisia hapo tu huez toka kimaisha?lazima utatoka ukiweka starehe pemben..wagang hawana lolote wanasoma tu saikolojia yako basi
Tuambiane fursa huko wakuu ili tubadili makaziMkuu napapenda sana Zambia, nakuja February, kama kuna uwezekano tukutane.
Inferior complexity???? !!!!!?Mbona kila kitu unasisitiza elimu yako ni darasa la 7.
Inferior complexity
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu amini,usiamini dawa ya kuvuta wateja ipo,hata hao wafanyabiashara wakubwa mfano Mo wanafanya shughuli zao kwakuzngatia ushirikina
Sent using Jamii Forums mobile app
Unipe ramani sasa kaka! Maana nakuja hapa sina moja wala mbili!Ukija Dar lazima utoke mwanangu. Mi mwenyewe nilikuja tu kutoka mtwara, sasa hivi nina bodaboda zangu mbili. Karibu mwanangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unampoteza akaombe maelekezo police tena central mkuu mpe raman ingine hata kwa wakigoma wenzake najua lazma watakua na umoja waoUkishuka pale stesheni vuka barabara utaona jengo jeupe nje kuna magari mengi ingia wambie mimi ni mpya hapa mjini naomba maelekezo.
Sent using Jamii Forums mobile app