Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Huyu anaeleza safari yake kutoka kigoma to Dar kama wafanyavyo wengine wakitoka bongo kuelekea either south africa or nchi yeyote. Sijaona kosa lake.

Kama kuna mtu anaweza msaidia akifika Dar, afanye hivyo. Wasije wakamtapeli tena na kisimu chake cha tecno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
majanga haya!hvkweli kuna dawa za biashara??kuna kakangu aliendaga kwa mganga miaka y 2000. alikua mfanyabiashara wa hardware.. Mganga akichomwambia bwana nikaamin waganga wanaakili sana...alimpa dawa za kuoga..then akampiga marufuk starehe na akamwambia asizidishe nguo 5...ss imagine kiuhalisia hapo tu huez toka kimaisha?lazima utatoka ukiweka starehe pemben..wagang hawana lolote wanasoma tu saikolojia yako basi
Mkuu amini,usiamini dawa ya kuvuta wateja ipo,hata hao wafanyabiashara wakubwa mfano Mo wanafanya shughuli zao kwakuzngatia ushirikina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poapoa mkuu.Safari njema.Nilikuona ulivyokuwa unapunga mkono kwa juhudi.Mimi nilikuwa shambani kwetu kijiji cha Ndewelwa Tabora.Wagishage kwenuko myala!😂😂😂😂
 
Am from Misri I don't understand swahili but Mkuu huu uzi wa kiwaki sana
 
Wakuu ile safari yangu nadhani leo itafika mwisho, Kwahiyo nisaidieni wakuu, Mnisaidie japo kazi ili nipate hela ya kula.
Dakika kadhaa nyuma ndiyo tumeondoka hapa stesheni ya Morogoro, Asanteni!
 
Back
Top Bottom