Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Karibu tarime hutajuta kamwe kama njaa hata kwa jilani unashiba tu bila neno
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona unampoteza akaombe maelekezo police tena central mkuu mpe raman ingine hata kwa wakigoma wenzake najua lazma watakua na umoja wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu, Tarime na mimi ndio nakaribia Dar, wapi na wapi?Karibu tarime hutajuta kamwe kama njaa hata kwa jilani unashiba tu bila neno
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nataka nikusaidie kitu kila la heri uko darSasa mkuu, Tarime na mimi ndio nakaribia Dar, wapi na wapi?
😂bwana we nie sio men..usinishushe hukoKaka, Ndiyo niko njiani hivi, nipe Ramani. Japo nipate hela ya kula.
Kaka, Ndiyo niko njiani hivi, nipe Ramani. Japo nipate hela ya kula.
Nawe kwa kunifunga kamba!!!si juzi umenambia unakaa kigoma kwenye ule Uzi wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ningekuwa naishi huko kigoma ningetusua mapema sana
Na nlijua tu unanidanganya[emoji23][emoji23] mie ningekuwa naishi huko kigoma ningetusua mapema sana
Kwani niliposema sinema wewe umewaza nini ndugu?Sinema? Mpaka nimeweka namba ya simu? Sawa
Ninakushauri ukishuka Dar stesheni nunua chupa ya maji lita moja na nusu (usiyanywe), pini na kipande cha sponji ile ya kuoshea vyombo.Wakuu ile safari yangu nadhani leo itafika mwisho, Kwahiyo nisaidieni wakuu, Mnisaidie japo kazi ili nipate hela ya kula.
Dakika kadhaa nyuma ndiyo tumeondoka hapa stesheni ya Morogoro, Asanteni!