Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Ndio mpaka sasa hajafika jamaa ni muongo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mimi hapa sina nauli, niambie vizuri ili nije kwa miguu, ila mkuu, usinidanganye basi, maana naweza nikaja, halafu usipatikane. Nakuomba nielekeze vizuri, nitaulizia mpaka nifike, ila usinidanganye mkuu!
 
Mimi Mpaka Nimechoka Sasa

Kwa jitihada ulizofanya, ninaamini utasaidiwa, najua una pressure kwa sababu masaa yanaenda kimya lakini kuwa mvumilivu. Pia jitahidi usijibu kila mtu.
 
Back
Top Bottom