Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

We kwani umeitwa sitaki mazoea na wanaume wa dar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wa daaaarrrrr mkuu hutaki kuwekewa maji ya kuoga na kupikiwa mchele kama mwenye uzi alivyopokelewa kule jangwani???

Naendelea hapo chini...
 
pole yako Punga sese unaeliwa kiboga[emoji23][emoji23] Kabadilishe pampers ishajaa mavi. Ewwww mjaa laana mjaa luta

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada tumia tu lugha ya kistaarabu baitakugharimu chochote, ukiona mtu anakukera na maneno yake aio lazima umjibu unakaa tu kimya kuonyesha tofauti ila ukijibu unaonekana nawewe ni walewale

Mwenye huu uzi nia nia yake Ni kutaka msaada sasa si vyema kuugeuza uzi kuwa sehemu ya malumbano tena kwa maneno yasiyo na staha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom