evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,772
We ccm upo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamezingua kinoma, nasikia wamepunguza mabehewa, moja hiyo, pia wamepunguza mpaka safari za treni kwenda kigoma.
Hapa mabehewa yamejaa mpaka yanatapika, watu hatunyoshi hata vidole.
Sent using Jamii Forums mobile app