Nakukumbusha tu: Ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo

Dah......hivo vyote ulivyoorodhesha kumbe vyote ni buku teni....Kumbe teni lina thamani...!!!!!!!
 
Mkuu kwa mtazamo wangu naona unachohonga ili ukipate, kwa maana ya kile kiungo pendwa na kama mipango ikienda mujarabu ukaingia kwenye lile tendo pendwa, burudani utakayoipata hata ukishinda na njaa ni sawa tu
 
Na kwa nini uache kuhonga badala yake ukafanye hayo mambo?hakuna ambacho ni mbadala wa kingine,ntanunua sato,ntakunywa hizo balimi,ntapanda mwendokasi,na ntahonga vilevile!kwani vipi?
Hapo sasa!
 

Sihongagi mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…