mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Ninekuelewa sana ujue!Kumbuka unachohonga ukipate sio ugali wala daftari mscheeeewwww.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninekuelewa sana ujue!Kumbuka unachohonga ukipate sio ugali wala daftari mscheeeewwww.
na kwa hapa zanzibar ni kg 5 na nusu ya sukari,maana hapa ni 1800 kwa kg 1Mkuu kilo moja ni 2500
Heee wa zenj mna rahana kwa hapa zanzibar ni kg 5 na nusu ya sukari,maana hapa ni 1800 kwa kg 1
Naona hapa kuna fursa.Na tunaopewa zaidi ya laki inakuwaje hapo
Halaf dar nyama kilo moja ni 9000 au 8000
[emoji23]Ila kuna ukwel aisee, Asante Magu tunaiona nguvu ya Buku
Hapo sasa!Na kwa nini uache kuhonga badala yake ukafanye hayo mambo?hakuna ambacho ni mbadala wa kingine,ntanunua sato,ntakunywa hizo balimi,ntapanda mwendokasi,na ntahonga vilevile!kwani vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]Watu mkifulia mnakuwa na akili hizo
Hapo sasa;Kumbuka unachohonga ukipate sio ugali wala daftari mscheeeewwww.
1. Ni bei ya sato kilo moja
2. Kuku wa nyama mmoja
3.kilo 2 za nyama ya ng'ombe
4.Sukari kilo 3
5. Donna kilo 4
6. Mchele kilo 4 super kabisa
7. Maziwa ya ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Castle lite 4
10. Petrol lita 5
11. Nauli ya safari 13 za mwendo kasi
12. Chocolote ivory dogo 20
13. Mayai tray moja kizungu
14. Nauli na kiingilio cha mechi ya Simba na Yanga
15.nusu kilo ya mbuzi na balimi 2
16.balimi 6 na sigara 2
17.kitimoto nusu
18.michemsho ya kuku *2*
Unaweza ongezea [emoji3][emoji3][emoji3]
Nljua tu lazma wa kubet atokee .. Mkuu haumtandiki ila unamhonga mhindiApo unatandika mikeka 20 kwa mhind