Nakula ila Sipati choo msaada jamani

Pole sana katakata vitunguu swaumu punje unywe na maji ya moto
 
Wewe shida yako ni sedentary lifestyle... Badilika uwe unafanya mazoezi mara kwa mara uone kama hilo tatizo la kupata choo litakaa litokee. Anza mazoezi haraka. Km 5 kila asubuhi au jioni wiki mara 4 au zaidi
 
Fanya mazoezi ya viungo, (Kiunoni kushuka chini), pia kula matunda kama papai, juice ya ukwaju. Utapata choo.
 
Mkuu wewe unakunywa Pombe?? Chakula gani unakipendelea sana kula?
 
Wewe ni muongo. Na kama hiki unachokisema hapa ni kweli, niambie ulienda hospitali gani ambayo Daktari alitaka kukuingiza kidole ili akupime.
Ni kweli mkuu Tena nilikataa nikamwambia ntarudi na alikuwa mwanamke sasa.
 
Ukishindwa vyote, nunua ukwaju chemsha kisha kunywa juice yake, siku ya pili utapata matokeo.
 
Mzee ngoja nijaribu hii
 
NUNUA DULUCOLAX PHARMAS HAKIKISHA UKO NA CHOO NDANI AMA NENDA MADUKA YA TIBA YA ASILI PALE MAGOMENI OMBA WAKUPE DAWA YA KUSAFISHA TUMBO YA MBEGU MBEGU..ZIKO ZA UNGA HIZI ACHANA NAZO
HHAKIKISHAUMEKULAA CHIEF

KILALAKHERI NAPOLESANA
 
Wewe shida yako ni sedentary lifestyle... Badilika uwe unafanya mazoezi mara kwa mara uone kama hilo tatizo la kupata choo litakaa litokee. Anza mazoezi haraka. Km 5 kila asubuhi au jioni wiki mara 4 au zaidi
Mkuu Mimi Kila siku natembea kilometa 2 siishi hayo maisha unayosema.Hadi nakimbia lakini wapi.
 
Chukua maziwa fresh chemsha vizuri kisha yaache apoe weka katika friji yapate bard kidogo kisha kunywa utapata choo kizuri chap kwa haraka
 
DUADUA MWANA NJIA 10 HIZO IKIGOMA ONGEZA DUA ALLAH MWEMA UTAPONA
 

Attachments

  • Screenshot_20231217_220229_Chrome.jpg
    150.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20231217_220211_Chrome.jpg
    181.9 KB · Views: 7
  • Screenshot_20231217_220155_Chrome.jpg
    183.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231217_220140_Chrome.jpg
    179.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231217_220127_Chrome.jpg
    179.8 KB · Views: 6
Sema Akya nani...mi naweza saidia wewe walah
 
Huo n ugonjwa nenda hospital inayojitambua...utakuwa na shida kwenye mfumo wa chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…