Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Amini kwa limao na ndimu hakuna minyoo kabisa,ukiipiga kachumbari bila hivyo vitu minyoo is a must!
sawa mkuu,
ila mie siaminigi ndimu au limao, huwa nahofia sana hizo wadudu ...
But for sure mwenyewe shida ya choo akifakamia hiyo kitu kesho atatoa mzigo wa maana yaanl