Kwa uelewa wako unachojua Shoprite ni ya watanzania..?? Na mtu hafanyi investment only bcz kuna opportunity imetokea bznes is planning, a game of choice.. aliyetaka gas ameshafanya research study ya kutosha kujua where shud the fund dwell.. wote tukiwekeza kwenye supermarket IPP na Bhakressa wangetokea wap
Hilo jina sasa! astak...hi
I agree with you! Kama hilo jina (NAKUMAT) linaonekana kuwa abusive kwa desturi za ki-Tanzania, Mamlaka husika iwalazimishe kulibadili katika mazingira ya nchi yetu. Otherwise, hawataki, they have to go! Tatizo hizo mamlaka zetu zina guts za kufanya hivyo hususan inapokuja issue ya "mwekezaji"?
Sisi hapa Kenya hatujawahi kuwa na tatizo na hilo jina la Nakumat, maana halina maana yoyote aidha Kiswahili wala Kingereza.I agree with you! Kama hilo jina (NAKUMAT) linaonekana kuwa abusive kwa desturi za ki-Tanzania, Mamlaka husika iwalazimishe kulibadili katika mazingira ya nchi yetu. Otherwise, hawataki, they have to go! Tatizo hizo mamlaka zetu zina guts za kufanya hivyo hususan inapokuja issue ya "mwekezaji"?
I agree with you! Kama hilo jina (NAKUMAT) linaonekana kuwa abusive kwa desturi za ki-Tanzania, Mamlaka husika iwalazimishe kulibadili katika mazingira ya nchi yetu. Otherwise, hawataki, they have to go! Tatizo hizo mamlaka zetu zina guts za kufanya hivyo hususan inapokuja issue ya "mwekezaji"?
Kwa uelewa wako unachojua Shoprite ni ya watanzania..?? Na mtu hafanyi investment only bcz kuna opportunity imetokea bznes is planning, a game of choice.. aliyetaka gas ameshafanya research study ya kutosha kujua where shud the fund dwell.. wote tukiwekeza kwenye supermarket IPP na Bhakressa wangetokea wap
Nafikiri na ww hujamuelewa mossad007 kwa kifupi ni kuwa hizo bizashara za kilanguzi (sabuni ya kuogea na mswaki) sio deal Bakhresa na IPP walishaziona sasa wameingia kwenye Viwanda na malori wakifuatilia Vitalu vya GasNafikiri alichomaanisha si kwamba shoprite ni ya watanzania,alichomaanisha kwanini wa kenya wachukue fulsa hizo za uwekezaji na sio watanzania?
I agree with you! Kama hilo jina (NAKUMAT) linaonekana kuwa abusive kwa desturi za ki-Tanzania, Mamlaka husika iwalazimishe kulibadili katika mazingira ya nchi yetu. Otherwise, hawataki, they have to go! Tatizo hizo mamlaka zetu zina guts za kufanya hivyo hususan inapokuja issue ya "mwekezaji"?
Kampuni ya Nakumat ya Kenya inakamilisha mchakato wa kuinunua kampuni ya Shoprite Tanzania, yenye maduka matatu nchini. Hii imekaaje? Watanzania tumeshindwa kuingia kwenye retail business? Hawa wafanyabiashara wetu wanaolilia Vitalu vya gas wako wapi?