Nakumat yainunua Shoprite Tanzania

Nakumat yainunua Shoprite Tanzania

Mpanzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
785
Reaction score
440
Kampuni ya Nakumat ya Kenya inakamilisha mchakato wa kuinunua kampuni ya Shoprite Tanzania, yenye maduka matatu nchini. Hii imekaaje? Watanzania tumeshindwa kuingia kwenye retail business? Hawa wafanyabiashara wetu wanaolilia Vitalu vya gas wako wapi?
 
Kwa uelewa wako unachojua Shoprite ni ya watanzania..?? Na mtu hafanyi investment only bcz kuna opportunity imetokea bznes is planning, a game of choice.. aliyetaka gas ameshafanya research study ya kutosha kujua where shud the fund dwell.. wote tukiwekeza kwenye supermarket IPP na Bhakressa wangetokea wap
 
Mkuu ukiona hivyo ujue "tax holiday" imekwisha! Wanakuja kivingine. Umesahau ile michezo ya Sheraton then Royal Palm then Serena then ... and so on? Au Celtel then Zain then Airtel? Au Mobitel then ... then Tigo? Only in Tanzania!
 
Kwa uelewa wako unachojua Shoprite ni ya watanzania..?? Na mtu hafanyi investment only bcz kuna opportunity imetokea bznes is planning, a game of choice.. aliyetaka gas ameshafanya research study ya kutosha kujua where shud the fund dwell.. wote tukiwekeza kwenye supermarket IPP na Bhakressa wangetokea wap

Nafikiri alichomaanisha si kwamba shoprite ni ya watanzania,alichomaanisha kwanini wa kenya wachukue fulsa hizo za uwekezaji na sio watanzania?
 
Hilo jina sasa! astak...hi

I agree with you! Kama hilo jina (NAKUMAT) linaonekana kuwa abusive kwa desturi za ki-Tanzania, Mamlaka husika iwalazimishe kulibadili katika mazingira ya nchi yetu. Otherwise, hawataki, they have to go! Tatizo hizo mamlaka zetu zina guts za kufanya hivyo hususan inapokuja issue ya "mwekezaji"?
 
Mtazamo hasi tu but the name has nothing to do with desturi etc.if so basi hata Nyegezi na mtoni kwa mkunduge ni abusive zibadilishe majina.
 
I agree with you! Kama hilo jina (NAKUMAT) linaonekana kuwa abusive kwa desturi za ki-Tanzania, Mamlaka husika iwalazimishe kulibadili katika mazingira ya nchi yetu. Otherwise, hawataki, they have to go! Tatizo hizo mamlaka zetu zina guts za kufanya hivyo hususan inapokuja issue ya "mwekezaji"?
Sisi hapa Kenya hatujawahi kuwa na tatizo na hilo jina la Nakumat, maana halina maana yoyote aidha Kiswahili wala Kingereza.

Wewe binafsi una uwezo gani kumlazimisha mwekezaji kubadilisha jina, tatizo lako ni kua na mawazo machafu katika kila neno unaloliona, jioshe kwanza, hata jina lako hapa "Dudu" lina uchafu kwa asilia ya "Watanzania" maana linahusishwa na uchafu wa dudu wa chooni.
 
I agree with you! Kama hilo jina (NAKUMAT) linaonekana kuwa abusive kwa desturi za ki-Tanzania, Mamlaka husika iwalazimishe kulibadili katika mazingira ya nchi yetu. Otherwise, hawataki, they have to go! Tatizo hizo mamlaka zetu zina guts za kufanya hivyo hususan inapokuja issue ya "mwekezaji"?

Naomba kukijua kiwango chako cha Elimu

Baada ya kunitajia nitakuja kuchangia
 
Kwa uelewa wako unachojua Shoprite ni ya watanzania..?? Na mtu hafanyi investment only bcz kuna opportunity imetokea bznes is planning, a game of choice.. aliyetaka gas ameshafanya research study ya kutosha kujua where shud the fund dwell.. wote tukiwekeza kwenye supermarket IPP na Bhakressa wangetokea wap

Naelewa vizuri sana kuwa Shoprite sio ya watanzania, ila inafanya biashara ya Retail Tanzania na kushindana na akina Mangi na Wapemba, Pia inaleta bidhaa nyingi za mboga mboga na Matunda kutoka South Africa badala ya Lushoto, nilitegemea leo hii inapouzwa inunuliwe na wawekezaji wa Tanzania ili faida ibaki hapa, Kumbuka serikali ya Kenya iliwahi kuibail out UCHUMI wakati inayumba ili isinunuliwe na muwekezaji wa nje? Ndo maana nikasema hao wanaopiga kelele kuwezeshwa kwenye gas ambako kunaitaji mabilioni ambayo hatuna, kwa nini wasiwekeze nguvu zao katika kumiliki angalau biashara hizi ambazo tuna uwezo nazo?
 
Nafikiri alichomaanisha si kwamba shoprite ni ya watanzania,alichomaanisha kwanini wa kenya wachukue fulsa hizo za uwekezaji na sio watanzania?
Nafikiri na ww hujamuelewa mossad007 kwa kifupi ni kuwa hizo bizashara za kilanguzi (sabuni ya kuogea na mswaki) sio deal Bakhresa na IPP walishaziona sasa wameingia kwenye Viwanda na malori wakifuatilia Vitalu vya Gas
kifupi mm naona biashara ya Umachinga hapa TZ hailipi kwa Wazalendo wenye mitaji mikubwa
Hao walioko Kariakoo na kwenda kila siku China hadi kuvileta Viwanda vyao hapa Nchini (mfano MCL, TAN-UK nk) ndio za maana kuliko kuuza Biscuit km NAKUMAT
 
Last edited by a moderator:
Tz kwel ni shamba la bibi wameshachuma faida na misamaha ya kodi xx wanasepa na hukuna muwekezaji wa kutoka tanzania achukue hyo tenda..........
 
I agree with you! Kama hilo jina (NAKUMAT) linaonekana kuwa abusive kwa desturi za ki-Tanzania, Mamlaka husika iwalazimishe kulibadili katika mazingira ya nchi yetu. Otherwise, hawataki, they have to go! Tatizo hizo mamlaka zetu zina guts za kufanya hivyo hususan inapokuja issue ya "mwekezaji"?

Nenda Mwanza kuna Hoteli inaitwa KUMARIJA
 
Hilo jina lina kirefu chake jamani,msikurupuke kuelekezea fikra zenu kwenye vitu visivyo na msingi.Kama kumbukumbu zangu zipo sawia,nadhani hao jamaa walianza kwenye biashara ya magodoro na jina lao lilikuwa Nakuru Mattresses. Naomba kusahihishwa kama nitakuwa nimekosea
 
Afterall Nakumatt wame-specialise kwenye retail chain business for very long time na ndio maana shoprite wamekubali kununuliwa nao,yule jamaa wa TSN alijaribu wakamtolea nje.Kwenye biashara specialization ni muhimu.
Kampuni ya Nakumat ya Kenya inakamilisha mchakato wa kuinunua kampuni ya Shoprite Tanzania, yenye maduka matatu nchini. Hii imekaaje? Watanzania tumeshindwa kuingia kwenye retail business? Hawa wafanyabiashara wetu wanaolilia Vitalu vya gas wako wapi?
 
Huyo anaesema jina halina tatizo kiutamaduni na desturi yetu Huyo Hana akili zilisawa na ni mjinga shule za kuiba mitihani na kudesa tu
Ina maana wakiita seheme za sirii za mama yake anaona poa huo ni ukosefu wa akili
Mamlaka husika Jamani sisi watanzania tunatofauti kubwa ya kidesturi na wakenya wao wakenya wamefikia kuweka hata madanguro juu ya makanisa fika nairobi ujione
Tafadhali mamalaka zinazohusika zibadili jina Hilo kwani kwetu tanzaniaa ni aibu na matusi makubwa kwa kuruhusu uwekezaji bila kuzingatia desturi zetu tutamwandikia hata raisi Kama wataruhusu majina ya sio na stara katika nchi yetu
Aliyesema halina shida naomba akome Kama alivokoma katika .......ya wazazi wake. Huyo ni moja ya watoto waliokosa malezi bora kwa lugha nyingine ni chokora wa kenya
Koma koma tena koma
 
Back
Top Bottom