Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
,sasa kitu kama apples huwezi pata kwetu lushoto,au hata mchicha uuupate wa sa?,sio lazima vitu vya viwandani,nna uhakika shangazi yako ni mkulima wa mchicha,ni fursa yake kwa nakumatti,na kwa sheria mpya mkuu.
Bila shaka serikali watawabana Nakumat waaagize Mali Mbichi na hai toka Shume NA MAGAMBA LUSHOTO, PIA MGETA Dabaga, KILOLO, IFUNDA, Mangora Karatu na LUPEMBE -NJOMBE..