Nakumat yainunua Shoprite Tanzania

Nakumat yainunua Shoprite Tanzania

Ina maana na hawa nao hivyo hivyo?
BP ----> > > PUMA
AGIP -----> > >ORYX
 
Kabisa kabisa yaani wao na matumbo yao tu hawaoni wananchi tunataabikaje
wameingilia sasa mpaka kwenye simu ile line nayo ilipe kodi wanatutakia mema hawa jamani
sio kwamba hawaoni huo uwozo, wanauona ila 10% wanayoipata inawatosha matumbo yao na kusahau njaa haimalizwi kwa siku moja..:spit:
 
tanzania inachezewa na wawekezaji kupitia misamaha hii ya kodi (tax holiday). Wamekuja na kuondoka huku wakibadilishana majina.

Mfano: Kilimanjaro hotel > kempinsk hotel > hyatt regency hotel.

Pia sheraton > royal palm hotel> movenpick hotel > serena hotel.

Sasa shoprite kwenda nakumat ya kenya?

Nasikia tetesi barrick wanataka mgodi wa noth mara na ule wa ... Kwa wachina ili waje fukia mashimo.

Viongozi wetu hawalioni tatizo? Hatujitambui?. Kwingine kama botwasna na south wanafanya hivi?

unavyoambiwa mema ya nchi unakula unafikiri kuna nchi ahera

haapa dunian mpwa na wewe tafuta channel tengeneza mema ya watotowako wenzio awataki ujinga tena kukosea wakati wa kwenda kurudi unarudi mwenyewe
 
Kuuza na kununua biashara ni kitu cha kawaida kabisa. Ndivyo biashara inavyofanyika dunia nzima

Tatizo la Tanzania labda liwe ni sheria za kodi ambazo zipo legelege. Siunona jinsi makampuni ya simu yanavyopata faida katika nchi nyingine lakini Tanzania hayalipi kodi, yanapata hasara?
 
Ina maana na hawa nao hivyo hivyo?
BP ----> > > PUMA
AGIP -----> > >ORYX

BP wameshindwa KUSHINDANA NA MAKAMPUNI YA UARABUNI YANAOUZA MAFUTA YA WAJOMBA ZAO WENYE VISIMA. HAYA YANAYOCHAKACHUA VIWANGO VYA MAAFUTA NA KUKWEPA KODI. NDO MAANA WAMJENGA VITUO KILA KILOMETA YA BARABARA NCHINI.

BP wana intenational standard ndo maana WANAKUBALIKA kuuza mafuta ndege.

Elewa bila BP au PUMA ndege za KIMATAIFA ka hazitatua Tanzania !.

Oryx imeuzwa kwa ORYX ENERGIES

Nachofahaamu shoprite kufunga operations zao tz ni sheria za kuwabana ku-import goods zote toka south africa,sheriA sasa inaruhusu local supplier kusupply kwenye supermarket,na inaealazimisha wamiliki kupata goods zote hapa tz,na si ku-import
 
Hii Nchi Wanachi ndio wa kulaumiwa maana tunachagua panya na mchwa kutuongoza
 
Ni upepo tu utapita ilianza tanganyika < tanzania who knows inaweza kufwata Tanzachina
 
BP wameshindwa KUSHINDANA NA MAKAMPUNI YA UARABUNI YANAOUZA MAFUTA YA WAJOMBA ZAO WENYE VISIMA. HAYA YANAYOCHAKACHUA VIWANGO VYA MAAFUTA NA KUKWEPA KODI. NDO MAANA WAMJENGA VITUO KILA KILOMETA YA BARABARA NCHINI.

BP wana intenational standard ndo maana WANAKUBALIKA kuuza mafuta ndege.

Elewa bila BP au PUMA ndege za KIMATAIFA ka hazitatua Tanzania !.

Oryx imeuzwa kwa ORYX ENERGIES

Maswali magumu kwa majibu mepesi.............................
 
ni sheria za kuwabana ku-import goods zote toka south africa,sheriA sasa inaruhusu local supplier kusupply kwenye supermarket,na inaealazimisha wamiliki kupata goods zote hapa tz,na si ku-import

perxcent (%) KUBWA YA BIDHAA ZAO NI mchina. Electronic, electrical e.g mafridge, domestic equipment nk. labda zinapitishiwa SA.

Tz ina viwanda gani vya ku-supply supermarkets zetu. Au sembe na juice ya AZAM isiyo viwango? labda chai na kahawa Mkuu.
 
Kama ulikuwa hufahaamumu shoprite bidhaa zao zote wanatoa kwao,sa,sasa kitu kama apples huwezi pata kwetu lushoto,au hata mchicha uuupate wa sa?,sio lazima vitu vya viwandani,nna uhakika shangazi yako ni mkulima wa mchicha,ni fursa yake kwa nakumatti,na kwa sheria mpya mkuu.
 
Back
Top Bottom