Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa tu hii aina faida yoyote kwangu
je maslahi ya wafanyakazi yamezingatiwa ?
tanzania inachezewa na wawekezaji kupitia misamaha hii ya kodi (tax holiday). Wamekuja na kuondoka huku wakibadilishana majina.
Mfano: Kilimanjaro hotel > kempinsk hotel > hyatt regency hotel.
Pia sheraton > royal palm hotel> movenpick hotel > serena hotel.
Sasa shoprite kwenda nakumat ya kenya?
Nasikia tetesi barrick wanataka mgodi wa noth mara na ule wa ... Kwa wachina ili waje fukia mashimo.
Viongozi wetu hawalioni tatizo? Hatujitambui?. Kwingine kama botwasna na south wanafanya hivi?
tatizo hakuna sheria ya kuwabana wasifanye hivyo.., so in reality hawavunji sheria.., labda katiba mpya iseme ni hatua gani zichukuliwe kwa watakaofanya hivyo.., kumbukeni..., celtel>zain>airtel....., mobitel>buzz>tigo......, vodacom>vodafone uk n.k...!
tatizo hakuna sheria ya kuwabana wasifanye hivyo.., so in reality hawavunji sheria.., labda katiba mpya iseme ni hatua gani zichukuliwe kwa watakaofanya hivyo.., kumbukeni..., celtel>zain>airtel....., mobitel>buzz>tigo......, vodacom>vodafone uk n.k...!
yaani hii serikali yetu,,,,,,,,i jamani sisi watanzania tunalimwa kodi kule karikooo kisa ni nini wakati hawa wawekezaji wanapeta tu kiulaini ..a?
Tatizo hakuna sheria ya kuwabana wasifanye hivyo.., so in reality hawavunji sheria.., labda katiba mpya iseme ni hatua gani zichukuliwe kwa watakaofanya hivyo.., kumbukeni..., Celtel>Zain>Airtel....., Mobitel>Buzz>Tigo......, Vodacom>Vodafone Uk n.k...!
hivi punguzo la bei limeshaisha?
kwani shoprite na wenyewe walikuwa kwenye likizo ya kodi?