Nakumat yainunua Shoprite Tanzania

Mtazamo hasi tu but the name has nothing to do with desturi etc.if so basi hata Nyegezi na mtoni kwa mkunduge ni abusive zibadilishe majina.

Pia Kakuma , South Sudan ,Kiboje Zanzibar zibadilishwe jina. Nakumat ni ufupisho wa Nakuru Mattress.
 

Wafanya biashara wetu hawajashindwa kuendesha duka acha kejeli za kikojozi au na wewe ni Mulongost. Niambie vitu vyoote kule ndani ya Shoprite ni Tshs au vinanunua semi trailer ngapi za Bakhresa au kujenga vituo vingapi vya mafuta kama si sawa na kumwambia mtu aache kuuza magari akaingie mkataba wa kuuza matoroli; huo ni udhalilishaji wa wafanya biashara wa kitanzania.
 
Nakumatt ( Nakuru mattress ) wanunue tu congratulatins. Kwani ukifatitilia sana company ikifungua biashara na kuajiri watu, hao waajiriwa wanaona wameula kwa wizi badala ya kujitengenezea CV nzuri na kutegemea mshahara. Sasa kama shoprite wameamua kuuza wana haki loss nyingi, huenda Mr Atul Shah CEO ataleta na wafanyakazi toka Kenya wachapakazi na waaminifu kama wanavyoletwa ktk private schools.
Good luck to them
 

Hii divishen 5 yako itakua ile ya mwisho kabisa! Inabidi nawe upigwe ban mAana 'dudu' maana yake ni 'mbu.nye'!!
 
Waje wanavyojua ila Jina wabadilishe.
NAKUMAT,duh mwisho yatakuja mengine yanaitwa NAKUNDUT.

Halafu Supermarket zilikuwa zaman,sasa hivi hadi mitaani kuna Mini Supermarkets wakati enzi hizo za Imalaseko Supermarkets ilikuwa ndio habari ya mjini.
 
Nenda Mwanza kuna Hoteli inaitwa KUMARIJA
Ukifika USA utaweza panda Virgin Airline ambayo sera yake nini low cost airline (kama hii fast jet yetu) na inaweza kukupeleka mpaka Japan kwenye mji wa Kumamoto! By the way,Nakumatt tayari ipo Tanzania,ipo Moshi mjini!
 
Hao wajitayarishe kupata hasara kubwa. Watanzania hawana utamaduni wa kununua vitu kwenye supermarkets. Wanapenda kununua kwenye masoko kama kilombero - Arusha, Kariakoo n.k.
 
Hao wajitayarishe kupata hasara kubwa. Watanzania hawana utamaduni wa kununua vitu kwenye supermarkets. Wanapenda kununua kwenye masoko kama kilombero - Arusha, Kariakoo n.k.

Tena wamama na wadada wa huku uswahilini wanapenda vya magengeni balaa! Tena kwa mkopo. Watapata wa Masaki na Uhindini lakini huku mtaani kwetu kazi wanayo.
 
this debate on the name being dirty gave me quite a laugh. you Tanzanians are quite a bunch of hypocrites. your society is more sexual than us from celebrity sex scandals to stuff like kangamoko(which i praise tz for) yet a simple name like nakumatt is an issue. seriously guys. it takes a very idle sex depraved human being to look at the name nakumatt and think Pussy. some of you need to grow up, get offline and work on getting laid maybe for a change.
 
Mkuu ukiona hivyo ujue "tax holiday" imekwisha! Wanakuja kivingine. Umesahau ile michezo ya Sheraton then Royal Palm then Serena then ... and so on? Au Celtel then Zain then Airtel? Au Mobitel then ... then Tigo? Only in Tanzania!

Asante mkuu baeleze baelewe.. hakika aliyesema Tanzania ni kichwa cha mwendawazim hakukosea kabisaaaaa
 
Si kweli kwamba Shoprite wanakimbia kodi kwa sababu walisha maliza holiday miaka mingi sana, ila naona wameamua tu kuuza biashara zao.

Kwa kweli Kenya wako mbali sana kwenye ishu za malls, Tanzania bado hatuna huo utamaduni, bado kuna maduka kibao tuna subsatnce eceonomy bado, Kenya kwenye miji mikubwa huwezi kuta maduka ya rejareja mitaani, Nenda Kisumu nedna Eridoreti imejaa Malls,

Nakumat hata kule Moshi si dhani kama wanafanya vizuri, wachaga wanoenda kununua kwa Mushi na kwa kimaro, na ile supermarket imebakia kwa ajiili ya Wazingu ndo unakuta wamejaa mule,
Hivyo Nakumati hawatafanya vizuri kwa sababu kuu mbili.

1. Jamaa bidhaa zao ni ghari mno, Nakumati wanauza bidhaa zao ghari sana, huwezi walinganisha na Shoprite kwenye bei, na wabongo wengi ni watu wa bei, hivyo labda Nakumati wabadili policy yao kwa sababu mara nyingi wao hulenga watu wa High income na Midle class,

2. Utamaduni wa Watnzania bado si wakufanya shopingi super market- Utaona kwamba Tanzania tunamaisha ya uswazi mengi ambayo kuna kila kitu ukitoka tu mlangoni unakutana na Duka linauza kila kitu, Kenya hakuna hayo mambo maduka ya Reja reja mtaani ni ya kuhesabu sana yaani ni machache sana.

But all in all Tanzania inabidi watu waamuke, Kenya wanakamata hatamu wakati Bongo tunawaza kama EAC ivunjwe au la, ni lazima Watanzania waamuke na tupige kazi, kuwafikia Wakenya si ishu ndogo wako mbali sana, ila kitakacho tufanya tiushindane nao vyema ni kupiga kazi na wala si maneno na siasa mwanzo mwisho
 
Mkuu ukiona hivyo ujue "tax holiday" imekwisha! Wanakuja kivingine. Umesahau ile michezo ya Sheraton then Royal Palm then Serena then ... and so on? Au Celtel then Zain then Airtel? Au Mobitel then ... then Tigo? Only in Tanzania!

Mkuu acheni upotoshaji, Ndo Tatizo la Tanzania yetu, wenzetu wanapiga kazi sisi ni majungu na mambo ya kufikirika tu, Ni kuulize Celtel walikuwa Tanzania pekee? je unajua walikuwa wakibadili jina ni nchi zote au unataka kuniambia huko Nigeria bado kuna Celtel?

Majina huwa hayabadiliki Tanzania pekee jamani.

Kilichopo tujipange kupambana na wenzetu wa EAC, la sivyo tutabakia kuwa soko la bidhaa zao na kubakia kulalamika dailiy,tunapaswa kuamka na si kukalia kupondea wakati wenzetu wako kibiashara zaidi, Hawa Nakumat si kampuni ya mchezo.
 
toa mifano mingine lakini tigo sio kweli, it has always been Millcom Int Cellular ya Luxembourg
 
Udsm kuna walimu wawili ni profs mmoja anaitwa Mbonile yuko Human Geography na mwingine anaitwa Kumalija. Mbonile wkt akifundisha alikuwa anaandika juna lake hivi Mbo-nile na hyu mwenzake anaandika ubaoni eti anaitwa -----lija. Kwa nini hajalazimishwa kubadili kwa kuwa majina yanakiuka mila?
 

Do u thnk ur in a right path for wat u just possed above..?

Why do u generalize ur insult and nt pickng them people to atack from ths zone who meant unfrndly 2 u with their comments?

Usng ur inner brain, cnt u see the naKUMAtt name is a challenge to Tanzania swahili culture? Tho we hv KUMAlija hotel in Mwanza and a place in Maswa, bt stil they a both challenge.. Neither one is to be left undiscussed.

The big dif btn us is dat u Kenyans u thnk impersonate westeners and dancng there culture, ur in europ kumbe KIBERA
 
Mkuu ukiona hivyo ujue "tax holiday" imekwisha! Wanakuja kivingine. Umesahau ile michezo ya Sheraton then Royal Palm then Serena then ... and so on? Au Celtel then Zain then Airtel? Au Mobitel then ... then Tigo? Only in Tanzania!

Toa mifano lakini usipotoshe , tigo has always been Millcom Int Cellular Tz Ltd, (MIC T ltd) hayo ya mobitel , buzz na tigo ni brands tu, km vile Pepsi ilivyo kwa SBS T ltd
 
Mbona Serikali ivyotaka ku ibailout precision air mlipiga kelele. Hii ni biashara na sasa tunaelekea kwenye market and economic intergration. Mtashuhudia dhule za Kenya, stationery, daladala and so on zikiingia nchini. Siyo tatizo ni kujipanga tu. Acha waje.
 
Kenya is second biggest investor in Tz, ivi cie waTz tunawekeza kenya or its jst one way movement of investment ........ Kule india sector hii imefunguliwa juzi juzi tu kwa foreign players tena sheria yao inawalazimisha watafute domestic players as partners.retail business is very big and seriouz business watz tusiwaachie wageni pekee.marekani bila wal mart watu wangapi wangekuwa bila ajira ????????
 

Asante sana intellectual Ukwaju..!!
 
Last edited by a moderator:

Unajisemea ww na nani? Mbona husemi "cc tunaopigia kelele vitalu vya gesi badala yake unasema wao"! Halafu "biashara hz ambazo tuna uwezo nazo".
Wanaopiga kelele kuwezeshwa kwenye gesi ............... Hatuna mabilioni ......... tunaweza kuinunua shoprite.!!!!!!!
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…