Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,215
Nakumatt dah jina kama tusi au ndi zile za kihindi za kumar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakaribisha Al~ Shabaab[/QUOTHakuna Alshabaan bali wanapenda wake za watu sana hao wakenya.
ngoja tuone wa kwetu watawalipa sh ngapi il siku zote lengo la mfanyabiashara/capitalist ni kuaximize profit as much as he/she can kama inaaasili ya uhindini hii supermarket basi swala hilo tusilishangaeTumekupata sana mkuu hiyo ni kampuni kubwa ila sasa malipo yao ndo yako chini hata wafanyakazi wengi huacha kazi mara kwa mara.
Nakumatt dah jina kama tusi au ndi zile za kihindi za kumar
Tunakaribisha Al~ Shabaab
sina tatizo na nakumatt toka kenya kuweza nchini au kampuni kubwa zinazo milikiwa na wahindi since indians have been trading in tz before independence.
tatizo labda lije liwepo ktk uduni wa utoaji huduma.
nakumatt mnakaribishwa.
Hivi hawa wawekezaji huwa hawaambiwi kwamba Majina mengine badhi ya sehem itawakosesha wateja?
Mie hata kukaribia Duka hilo na wanangu sikaribii kabsiaa kwa jina.
Nakuma...t,duhh
Maana hata sijui kama una Mama yako unamuambia ,Mama twende Nakumat mh,mbaya zaidi T ya mwisho haisikiki vizuri inakuwa NA ----.
Hapo ndio ukiigia Dukani unajifanya kama jina hulioni vile.Na Mbaya zaidi watoto walivyo wadadisi,lazima watakuambia baba hili jina mbona matusi,hapo inabidi uwe mpole,sasa IQ ya mtoto itapima kwamba baba nae sie,yaani anaingia kwenye duka limeandikwa matusi?
Kazi kweli,nilikuwa mteja wa Shoprite lakini kwa Nakumatt nitasamehe kwa jina.
Hapo kwenye nyekundu huo sasa ndio ujinga wenyewe unamwambia vipi mtu abadilishe business strategy zake kwenye soko huru kukuridhisha wewe policing body sijui regulator.Wamiliki wa msululu wa supermarket kubwa za Kenya, Nakumatt, watatakiwa kusubiri hadi katikati ya mwaka huu kabla ya kununua supermarket tatu za kampuni ya Shoprite ya Afrika Kusini zilizopo nchini.
![]()
Manunuzi hayo yalitakiwa kufanyika mwezi huu wa nne lakini sasa yatafanyika baada ya miezi mitatu kwa mujibu wa tume ya ushindani Tanzania, FCC. "Hatu na uhakika lini tutachukua maduka hayo kwakuwa tumeambiwa na tume ya ushindani ya Tanzania kungoja kwa miezi mitatu mingine," alisema Thiagarajan Ramamurthy, Head of Strategy and Operations wa Nakumatt.
Sababu za kuchelewa huko hazijatajwa.
Supermarket hizo zitauzwa kwa gharama ya dola milioni 40.45. Nakumatt imeahidi kuwaajiri wafanyakazi wa Shoprite pale itakapozinunua ili kupunguza gharama ya kuajiri wafanyakazi wapya. Kampuni hiyo ya Afrika Kusini inaondoka Tanzania baada ya kuonywa kuacha kuchukua bidhaa kutoka Afrika Kusini na kutopromote zile za Tanzania.
Kwa upande wake Nakumatt imepanga kuwapa kipaumbele wazalishaji wa bidhaa wa Tanzania na wale wa Kenya waliopo Tanzania. Hatua hiyo ya kuchelewashwa kwa manunuzi hayo kunaiathiri Nakumatt ambayo ilikuwa imejipanga kuanza biashara mwezi huu.
Chanzo: VenturesAfrica
Kwanini lazima mboga na matunda ya ndani yauzwe huko au yafike hapo wakati wanunuzi wapo kila kona. Why cant producers na wafanyabiashara themselves find their own markets, nyinyi wenyewe mmeacha wachukuzi kuweka gharama za juu sana kwenye bidhaa za chakula na idadi yao ni wachache sana matokeo yake gharama za chakula mijini au sehemu zisizozalisha zimekuwa juu.Hivi yale machungwa pale muheza na zile mboga + matunda ya lushoto kufika shoprite/uchumi/game imekuwaa ngumuuu kabisaaaaa????
Wamiliki wa msululu wa supermarket kubwa za Kenya, Nakumatt, watatakiwa kusubiri hadi katikati ya mwaka huu kabla ya kununua supermarket tatu za kampuni ya Shoprite ya Afrika Kusini zilizopo nchini.
![]()
Manunuzi hayo yalitakiwa kufanyika mwezi huu wa nne lakini sasa yatafanyika baada ya miezi mitatu kwa mujibu wa tume ya ushindani Tanzania, FCC. "Hatu na uhakika lini tutachukua maduka hayo kwakuwa tumeambiwa na tume ya ushindani ya Tanzania kungoja kwa miezi mitatu mingine," alisema Thiagarajan Ramamurthy, Head of Strategy and Operations wa Nakumatt.
Sababu za kuchelewa huko hazijatajwa.
Supermarket hizo zitauzwa kwa gharama ya dola milioni 40.45. Nakumatt imeahidi kuwaajiri wafanyakazi wa Shoprite pale itakapozinunua ili kupunguza gharama ya kuajiri wafanyakazi wapya. Kampuni hiyo ya Afrika Kusini inaondoka Tanzania baada ya kuonywa kuacha kuchukua bidhaa kutoka Afrika Kusini na kutopromote zile za Tanzania.
Kwa upande wake Nakumatt imepanga kuwapa kipaumbele wazalishaji wa bidhaa wa Tanzania na wale wa Kenya waliopo Tanzania. Hatua hiyo ya kuchelewashwa kwa manunuzi hayo kunaiathiri Nakumatt ambayo ilikuwa imejipanga kuanza biashara mwezi huu.
Chanzo: VenturesAfrica
eti hadi nyanya dah yaani hapa nachoka kabisa.TRA watch out carefully:hat:, :rip: Shoprite!!! wametuchosha na bidhaa za makaburu hadi mboga!
Kwanini lazima mboga na matunda ya ndani yauzwe huko au yafike hapo wakati wanunuzi wapo kila kona. Why cant producers na wafanyabiashara themselves find their own markets, nyinyi wenyewe mmeacha wachukuzi kuweka gharama za juu sana kwenye bidhaa za chakula na idadi yao ni wachache sana matokeo yake gharama za chakula mijini au sehemu zisizozalisha zimekuwa juu.
Halafu mpaka mtu achukue machungwa south afrika na kuyauza bongo na wewe ukaona bado rahisi au hata kama ni gharama zaidi kosa la nani mfanyabiashara au wewe mnunuzi? na kwanini ukanunua usiende support local produce what is the reason? hapo kosa la shoprite liko wapi?
Kama wanataka fairness basi wawaambie na wachukuzi lazima asilimia 60 ya uchuuzi wao huwe wa ndani kuacha kufuata biashara za nje kama Uganda, Zaire, Burundi, na nchi za kusini zenye faida in the name of encouraging internal markets by increasing volumes and lowering food prices ili wakulima wafaidike na economies of scale.
Unapoamua kuwa soko huru maana yake umpangii mtu na mwenendo wa biashara zake unaweza muomba atumie bidhaa za ndani lakini auna sababu ya kumlazimisha hao shoprites kama wangeona kuna faida hiyo wangeamua kufungasha kweli? ina maana wao wana execute plan yao sio yako wewe na wanajua ni watu gani wanawalenga na bidhaa gani au kwa namna zipi watauza.
Unajuaje gharama za kuleta hizo mboga kwa meli ni rahisi kutoka south afrika kuliko kuzifuata huko Muheza, wao wanaenda na strategy zao labda meli ikija inakuja na bidhaa zote na kuwatolea usumbufu na gharama za kuangaika ndani ya Tanzania.
Tunakaribisha Al~ Shabaab