Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
,sasa kitu kama apples huwezi pata kwetu lushoto,au hata mchicha uuupate wa sa?,sio lazima vitu vya viwandani,nna uhakika shangazi yako ni mkulima wa mchicha,ni fursa yake kwa nakumatti,na kwa sheria mpya mkuu.
nilitaka nijue kama punguzo kama lipo nijipange unataka kuniagiza nini mkuu
Mihogo na matembele
matembele unajua kuyapika?
Concorp Africa - And BeyondIna maana na hawa nao hivyo hivyo?
BP ----> > > PUMA
AGIP -----> > >ORYX
Shamba la bibi...