I know four
gay men, watanzania kabisa, a family member, a family friend, na school mates.
One is openly gay (family member), 3 secretly.
2 Are married TO WOMEN (the school mates tena walioa mapema wote na wake zao under 25). Two are not married.
The married ones, one
knows I know, the other
thinks I don't know, nam zoom tu, yani huyu ni kama Mungu aliniacha nije karibu yake akasema "muone huyu".
Hao wenye
wake wote wamelelewa na wazazi wao
wawili tena
no divorce kwahiyo
wapumzisheni Single Mothers.
Mungu kasema Yeye ni Baba wa Watoto Wasio na Baba (Zaburi 68:5-6). Watoto wa Single Mothers wamuabuduo Mungu wa Pekee wa Kweli Baba yao ni Mkuu kuliko mababa wowote. Hao wanaonekana na mababa wengine mababa zao wanalala na wanaume wenzao.
Unabii wa siku za mwisho kuhusiana na single mothers:
Post in thread 'Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers'
Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers
Lakini unajua what is
common katika hawa wanaume
wote wanne ninaojuta kuwafahamu?
WAMESOMA BOARDING!
ACHENI KUPELEKA WATOTO BOARDING! ! Hizi ni nyakati nyingine kabisa. Hata kwa jirani tunawaruhusu kwa machale