Nakumbuka millenials kaburi letu lilikuwa madawa ya kulevya. Hawa Gen-Z kaburi lao ni mapenzi kinyume na maumbile

Nakumbuka millenials kaburi letu lilikuwa madawa ya kulevya. Hawa Gen-Z kaburi lao ni mapenzi kinyume na maumbile

Kuna club Moja ipo kigamboni demu anakuja na kijisketi kidogo kinaishia katikati ya matako. Huwa wananipa mzuka kabisa, ila nilishaapa Kwa muumba nisifanye huo ufuska, ila najua Kuna siku shetani atashinda
Kila mwanamke sahv anaonesha tk lake analitingisha,ana promote aliwe nyuma
Haya ukienda kwa wanaume wako legelege nao wanapumuliwa kutokana na tamaa zao kutaka maisha ya shutout na kuna mabazazi wanawafukunyuaaa mav
Shnz typ zao

Ova
 
Kuna club Moja ipo kigamboni demu anakuja na kijisketi kidogo kinaishia katikati ya matako. Huwa wananipa mzuka kabisa, ila nilishaapa Kwa muumba nisifanye huo ufuska, ila najua Kuna siku shetani atashinda
Umeshafanya anal sex imebaki tu kutekeleza kimwili.
Kitendo cha kusema "ananipandisha mzuka" tayari u mmojawao
 
Sio wasichana , sio wavulana, makebo yao sasa ni dili.

Vitoto vinazibuliwa mitaro sio mchezo kulaleeeeki.

Fasheni imegeukia makalioni kwa mabint, show off mitandaoni lazima ajibinue, mtaani lazima ayabane na kanga, zamani walikuwa wanaliazimishwa ila siku hizi anakuambia mwenyewe na usipomuomba anakuona mshamba. Video za wao kuliwa mimavi nje nje kila kona zimetapakaa, yani ni trend

Vivulaana vimekuwa dhaifu sana, gay porns zinawaharibu, LGBTQ mitandaoni, malezi ya upande mmoja na tamaa ya vitu vikubwa. Siku hizi video za shuguli zimejaa vijana wengi wa kiume mashoga, sasa hizi hawaoni haya maana wamekuwa wengi mno.
Vihana madonati yana soko kuliko vitumbua.
Ni fashion tu ya kizazi litapita tu
 
Miaka hii tunatakiwa tuwalinde sana watoto kiume. Miaka hii, watoto wa kiume wana hatari kubwa sana kuliko kinyume chake.
Mashuleni baadhi ya walimu wanaharibu watoto.

Kuna producer mmoja Bongo ni shoga, kabla ya kua producer 2018 kurudi nyuma alikua ni mwalimu wa primary bila shaka kuna watoto aliwaharibu
 
Mashuleni baadhi ya walimu wanaharibu watoto.

Kuna producer mmoja Bongo ni shoga, kabla ya kua producer 2018 kurudi nyuma alikua ni mwalimu wa primary bila shaka kuna watoto aliwaharibu
Sio walimu tu, shule za single gender Kuna mashoga kibao. Mm naona Huwa yanaanzia nyumbani, unakuta vi elements anavyo ilikua apate watu wa kuruka nae tu
 
Sodoma na gomola walikuaga Gen Z ? Sio

Msiwasingizie hayo mambo yapo kwa wote kama madawa mitaani humu tunawaona vijana walivyoharibika kwa madawa

Mambo ya ushoga, usagaji na kinyume na maumbile yanafanywa na wote na kwa wingi ule ule

Mmeamua tu kuwasingizia Gen Z , wamama wazima wanageuzwa hiyo ni michezo ipo tu enzi zote wababa wapo wanaogeuzwa na nyie wakongwe ndio mnafundisha hawa Gen Z michezo michafu

Uzuri nyie watu wazima mnajificha ila hawa watoto mambo hadharani hawamuogopi mtu

Nyie mnajifanya mnatunza siri mpaka wake zenu wakute mavi kwenye chupi zenu ndio waanze kuwasema kwa sauti mbele za watu ndio tujue

au wamama watu wazima utembee na vijana , wawatangazie mtaani kama yule mama mbona poa tu ndio tujue

mambo hayo yapo kwa wote tatzo watoto wa siku hizi hawana cha kuogopa au kuficha nyie wakongwe mnageuzwa na kugeuzana kisiri sana unaweza usijue mpaka yabumbuluke
 
Ongezeko la men having sex with men ni kubwa.
I mean wanaume wanasex na men kwa sababu ya anal sex but they are not gays

Married men wasioweza omba anal kwa wake zao wapo group hili

Men testing "anal ya kidume inanogaje" after kuzoea za wanawake ni kundi kubwa pia

Man akianza kula anal kuvuka kwa gays is the next point tena easy. Waogopeni
 
Sodoma na gomola walikuaga Gen Z ? Sio

Msiwasingizie hayo mambo yapo kwa wote kama madawa mitaani humu tunawaona vijana walivyoharibika kwa madawa

Mambo ya ushoga, usagaji na kinyume na maumbile yanafanywa na wote na kwa wingi ule ule

Mmeamua tu kuwasingizia Gen Z , wamama wazima wanageuzwa hiyo ni michezo ipo tu enzi zote wababa wapo wanaogeuzwa na nyie wakongwe ndio mnafundisha hawa Gen Z michezo michafu

Uzuri nyie watu wazima mnajificha ila hawa watoto mambo hadharani hawamuogopi mtu

Nyie mnajifanya mnatunza siri mpaka wake zenu wakute mavi kwenye chupi zenu ndio waanze kuwasema kwa sauti mbele za watu ndio tujue

au wamama watu wazima utembee na vijana , wawatangazie mtaani kama yule mama mbona poa tu ndio tujue

mambo hayo yapo kwa wote tatzo watoto wa siku hizi hawana cha kuogopa au kuficha nyie wakongwe mnageuzwa na kugeuzana kisiri sana unaweza usijue mpaka yabumbuluke
Lawama za bure tu cause walionomalaizi ni millenials
 
Lawama za bure tu cause walionomalaizi ni millenials
Kata ukibali hayo mambo yapo kwa wingi ule ule zama zote na kwa umri wote hajaaanza leo hayo mkuu

Yameanza na yapo enz kwa enz
 
Itoshe kusema, hawa watoto ni matokeo ya malezi yetu. Kama tunazisema vibaya tabia zao, basi tukubali kwamba tulifeli kwenye malezi yao na wakulaumiwa ni sisi, si wao. Ova
 
Back
Top Bottom