Nakumbuka Mitihani yetu ya Darasa la Saba ilikuwa inaanza ivi

mimi kweli ni kilaza kwenye hesabu yani japo nambiwa nila darasa la saba bado naona chenga chenga tu
Elimu yako tafadhali maana hapo ni za kwanza hizo hazina tofauti na hesabu za dukani kurudisha na
kupokea change
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
aah8ana,mbona unaniangusha.

Majibu unayakuta chooni,mwalimu kishasolve mkuu,
 
Mkuu samahani Kama utakuwa female naomba niwe mwanafunzi wako kwa kweli sijawahi fundishwa hesabu na madam nasikia wanaeleweka Sana yamkini namimi ningekuwa kipanga wa hesabu ntafurahi Kama ombi langu litakubaliwa
 
aah8ana,mbona unaniangusha.

Majibu unayakuta chooni,mwalimu kishasolve mkuu,
 
Don't take it seriously

Hapa JF chit chat usikute mleta mada alikuwa hashuki 45/50 kwa kila pepa sema ili kufurahisha genge ndio kaandika hivyo
 
mwaka 2013 ndo elimu ilizikwa ya shule ya msingi kwakuleta machaguo yasiokuwa na maana kwa mwanafunzi

RIP elimu tz
 
Nilikuwa nikimaliza wa kwanza nalala au natoka kwa paper, 48/50kama widaa
 
Don't take it seriously

Hapa JF chit chat usikute mleta mada alikuwa hashuki 45/50 kwa kila pepa sema ili kufurahisha genge ndio kaandika hivyo
Most of these people ni wale competent persons, ndio maana anatambua kirahisi nin kilikuwa rahisi na nini kilikuwa kigumu, so very true sometymes is just a matter of jokes!
 
Mpaka hapo sijakuelewa. Ndiyo maana nikiona namba kichwa kinauma
 
Most of these people ni wale competent persons, ndio maana anatambua kirahisi nin kilikuwa rahisi na nini kilikuwa kigumu, so very true sometymes is just a matter of jokes!
Na ukiona mtu anajisifia sana ujue ndio wale walikuwa Vilaaaza

Mtu ambaye alikuwa mzuri huwezi kukuta anajisifia hovyo
 
Mmmh! Haya. Ndege angani na gari aridhini vikutane labda kama ndege inaruka chini chini kufuata uelekeo wa barabara!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…