Nakumbuka Mitihani yetu ya Darasa la Saba ilikuwa inaanza ivi

Sekondari gani walikua wanatoa maswali ya hesabu kiswahili?
 
Haaa haa haa haa
Aiseee nmekumbuka mbali sana
 
Angalie usije ukadata!
 
Dah... Kwa njia hii ya papara lazima uwe unapigwa tu[emoji12] [emoji12]
 
limetafsiriwa
Usiwe m bishi kwa wale waliomaliza middle schl miaka ya mkoloni maswali yao darasa la nne ni ya form 2 ya sasa. Hilo swali ni la darasa la saba miaka ya 1996 kurudi nyuma kabla Awamu yenu ya Mungai kuwachanganyia hesabu na sayansi/kimu
 
hata baada ya 1996 hayo maswali yalikuwepo hata baada ya kuingia mungai.
 
...nonsense!..uzi ulilenga kufurahi kwa kukumbuka ndo mana ikawekwa joke,mpuuzi mmoja kaharibu kabisa maudhui ya uzi!
..ndo shida ya mabwege wanaotumia nguvu nyingi kutaka kujionesha wao vipanga sana,kumbe vibuyu tu!
 
Mkuu una stress sana....
 
acheni utani swali LA hesabu haliwezi kukaa kama hivyo sababu halina uhalisia wa kuweza kulitafutia solution ,hapo hata umpe professor wa hesabu lazima atakwambia umtolee ujinga wa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…