spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
- Thread starter
- #21
Amina mkuuPole sana,.Mungu akutie nguvu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina mkuuPole sana,.Mungu akutie nguvu
Aisee yani ni kama naota lakini ni ukwel hatutawaona tenaPole mkuu
Msiba wa baba unauma[emoji26]
Mimi kila siku nalia,leo tu alfajiri nikawa naota matukio ya msibani yalivyokuwa..nimelia usingizi,nimekuja kuamshwa nikalianzisha tena live.
Tuwaombee dua tu.......................Mungu awarehemu wazee wetu na wote aliowaita kwake pia awalinde wale aliowabakiza kutuongoza.
Mzee wangu ana 34+ kwenye udongo nimemuona kwenye picha tu,sichoki kumuombea imani yangu huko aliko yupo sehemu salama.
Pole sana mkuu!
Mimi natamani ingekuwa ndoto [emoji26]Aisee yani ni kama naota lakini ni ukwel hatutawaona tena