Nakumbuka mwezi July nilimpoteza baba yangu

Nakumbuka mwezi July nilimpoteza baba yangu

Pole mkuu
Msiba wa baba unauma[emoji26]
Mimi kila siku nalia,leo tu alfajiri nikawa naota matukio ya msibani yalivyokuwa..nimelia usingizi,nimekuja kuamshwa nikalianzisha tena live.
Aisee yani ni kama naota lakini ni ukwel hatutawaona tena
 
.......................Mungu awarehemu wazee wetu na wote aliowaita kwake pia awalinde wale aliowabakiza kutuongoza.

Mzee wangu ana 34+ kwenye udongo nimemuona kwenye picha tu,sichoki kumuombea imani yangu huko aliko yupo sehemu salama.

Pole sana mkuu!
Tuwaombee dua tu
 
Back
Top Bottom