Nakumbusha tu kwamba DR. Emmanuel Nchimbi ndiyo agenda ya taifa kwa mwaka 2030-2040

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.

Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.

Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka 🐒

Mungu Ibarki Tanzania
 
2030 - anagombea Bashungwa hii inajulikana .

Labda muanze kufikiria makamu wake
kugombea ni jambo jingine gentleman,

huna haja ya kubabaika wala kutikisika kabsaaa,

Dr.Emmanuel Nchimbi ndio agenda ya Taifa 2030-2040🐒
 
Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.

Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.

Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka 🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Tunamtaka January Makamba🐼
 
Ndio mnawasimika kama Machifu, wekeni Box la kura lililo HURU halafu mtuachie sisi wananchi tuchague tunamtaka nani.
 
Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.

Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.

Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka 🐒

Mungu Ibarki Tanzania
🌈 Jitokeze tena useme kuwa Lisu hakujiandaa kwenye huo uchaguzi hivyo atashindwa.
 
zingatia hoja gentleman huna haja kubabaika wala kuweweseka na ukweli huo 🐒
 
Ndio mnawasimika kama Machifu wekeni Box la kura lililo HURU halafu mtuachie sisi wananchi tuchague tunamtaka nani.
hayupo wa kumuwekea mwingine kitu,
mambo ya kitaifa yanafanywa na waTanzania wote gentleman,

ni muhimu kuondoa mindset mgando kwamba kuna wa kukufanyia wewe jambo, hapana. Ya kitaifa ni ya waTanzania wote 🐒
 
Mnanuka RUSHWA.
 
Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.

Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.

Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka 🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Huyu macho mlegezo sina imani naye kabisa. Huyu ni mpenda mali na mtu mbinafsi. Kama aliweza kupingana kukatwa lowassa hadi kutoka nje ya kamati kuu ya ccm basi ni mtu anayeabudu rushwa. Isitoshe aliorodheshwa kama fisadi wa elimu kwa kupata Phd feki.
 
Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.

Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.

Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka 🐒

Mungu Ibarki Tanzania
GENTLEMAN unatoanwapi hivi VICHEKESHO??? Where do you get these jokes?🤣😅🤣😅🤣😅🚴😅🚴🤸
 
Gentleman,
Chukua hiyo as reference, itakusaiadia sana kuzoea mazingira ya kiongozi wa Kitaifa ajae 🐒
 
Back
Top Bottom