hujui kwasabb kwanza huna utashi ambao ni zawadi kila mtu kapewa na Mungu bure,
Lakini pia huna imani kwa Mungu, huenda unaamini ushirikina ndio maana huna hakika na kesho yako.
Maana yake hufahamu ya kwamba kuishi ni Kristo na kufa ni faida.
Ninaamini Mungu ndio maana naweza kupanga tena kwa uhakika kabisaa kesho nitasafiri na kurudi next week,
si hivyo tu,
mwaka ujao by December nitapaua nyumbani yangu ya bunju,
Na katika uongozi wa Taifa hili kwa Neema na Baraka za Mungu mtajwa kwenye hoja mahususi ndie kiongozi mkuu wa Taifa hili ajae 🐒