Nakumbusha tu kwamba DR. Emmanuel Nchimbi ndiyo agenda ya taifa kwa mwaka 2030-2040

Nakumbusha tu kwamba DR. Emmanuel Nchimbi ndiyo agenda ya taifa kwa mwaka 2030-2040

HII NDIO HULKA NA TABIA HALISI YA WANA CCM, KUWAZA CHAGUZI ZIJAZO NA VYEO, KUFIKIRIA MAENDELEO YA NCHI AAAAHH!
sababu ya huyu mungwana kua agenda ya ya Taifa 2030-2040 ni maendeleo ya wanainchi kupitia utekelezaji na usimamizi wa Ilani ya CCM 2020-2025.

mambo haya hayatokei kimiujiza gentleman ni mipango tu 🐒
 
Huyu macho mlegezo sina imani naye kabisa. Huyu ni mpenda mali na mtu mbinafsi. Kama aliweza kupingana kukatwa lowassa hadi kutoka nje ya kamati kuu ya ccm basi ni mtu anayeabudu rushwa. Isitoshe aliorodheshwa kama fisadi wa elimu kwa kupata Phd feki.
Gentleman,
Amini Mungu pekee,
achana na imani potofu za kuamini ushirikina.

kwasasa,
elewa tu, Dr Emmanuel Nchimbi ndio agenda ya Taifa kwa mwaka 2030-2040.

Maelezo ya ziada nitayatoa kwa wakati muafaka 🐒
 
Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.

Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.

Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka 🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Umeachana na stori za LISSU kila wakati.
Umeona umeshindwa na waliokutuma.
Sasa umehamia kwenye ramli nyingine.
 
Umeachana na stori za LISSU kila wakati.
Umeona umeshindwa na waliokutuma.
Sasa umehamia kwenye ramli nyingine.
Relax gentleman,
zingatia hoja mahususi mezani, itakusaiadia sana wewe na wadau wengine kubabaika wakati muafaka ukiwadia 🐒
 
Bob Marley “you can trick people sometimes, but you can’t trick people all the time”.

Nchimbi hana uwezo, ni kwamba hakuwa priority ya usalama wa taifa (na wenyewe ni watu wa hovyo). Hawana analysts ni taasisi ya hovyo.

Lakini sasa yupo kwenye rads zao kama mtu hatari kwa national security (watch this space), hata kama kaweka mngoni mwenzake on top kwenye national security.

Watamshughulikia tu

Usalama wa taifa ni ‘słów horses’ ila alipofikia Nchimbi ni swala la muda tu watampa pipi yake (Watch, this space).

He is not that clever, zaidi ya uhuni wa kishamba tu.
Gentleman,
hakuna haja ya ramli, hisia wala imani potofu kwenye mambo bayana kama hili.

dhana zisizo na athari kisiasa na kiutendaji kama hizo si muhimu sana nyakati hizi za ukweli na uwazi gentleman 🐒
 
Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.

Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.

Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka 🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Huwajui Watanganyika. Kaa kimya hujui kitu
 
Heee dunia inaenda mbioooo......yule ropo ropo wa Arusha...Marope sip agenda tena daaaa....basii sawaaa
 
Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.

Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.

Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka 🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Imezoeleka katika Si-hasa za Nchi hii kwamba mtu akishakuwa Makamu wa Rais au Waziri Mkuu basi URais atausikia kwenye 📻 tu. !! 😳😳
 
Imezoeleka katika Si-hasa za Nchi hii kwamba mtu akishakuwa Makamu wa Rais au Waziri Mkuu basi URais atausikia kwenye 📻 tu. !! 😳😳
mazoea ni utumwa mbaya sana dah!

kwamba Simba SC haiwezi kufuzu zaidi ya robo fainali michuano ya kimataifa, hatua ambayo mara zote huishia, right?

imani kama hizi pamoja na hiyo yako si ushirikina wa wazi kabisa gentleman 🐒
 
Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.

Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.

Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka 🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Wewe despot, umezoea "status quo"? Umeyaona ya jana? Nyakati zinabadirika, demography inakua nyingine, siyo ile ya '47, na ujue Vijana sasa wanakua wemepata elimu, na wasomi wakipata elimu wana-tend kua na uelewa wa haki zao; ndiyo maana jana umeona Lisu alivyoshinda na Mbowe (Mwamba) kusimama na kukubali matokeo.

Have said that; Vijana wote wameona, na wamependa, hawajawahi kuona raha hiyo ambayo hawajawahi kuona maishani mwao. Cha muhimu tu wewe ngojea tu October 2025; utaona. Safari hakuna Mbowe wala Lisu kuwaambia Vijana waingie mtaani, yaani Vijana wenyewe bila kusukumwa wataingia mtaani kudai haki yao.

Hapo ndiyo utajua old tactics zenu ndiyo zitakua mwisho. Remember Old dogs never learn new tactics! You are old, your tactics are old also.
 
Mbona haumpi promotion sasa kutwa kucha upo na Mbowe na Lissu? Umesahau agenda gentleman?
mimi sio promotor gentleman,

mimi ni mwanasiasa na mchambuzi mwandamizi wa siasa na demokrasia.

jukumu langu ni kueleza na kufafanua ukweli wa mambo ya siasa za Tanzania yanavyokwenda kwa miaka 15 ijayo.

kwa kifup,
huo ndio ukweli kumuhusu huyo mungwana mzalendo nchini 🐒
 
Back
Top Bottom