sababu ya huyu mungwana kua agenda ya ya Taifa 2030-2040 ni maendeleo ya wanainchi kupitia utekelezaji na usimamizi wa Ilani ya CCM 2020-2025.HII NDIO HULKA NA TABIA HALISI YA WANA CCM, KUWAZA CHAGUZI ZIJAZO NA VYEO, KUFIKIRIA MAENDELEO YA NCHI AAAAHH!
Gentleman,Huyu macho mlegezo sina imani naye kabisa. Huyu ni mpenda mali na mtu mbinafsi. Kama aliweza kupingana kukatwa lowassa hadi kutoka nje ya kamati kuu ya ccm basi ni mtu anayeabudu rushwa. Isitoshe aliorodheshwa kama fisadi wa elimu kwa kupata Phd feki.
Umeachana na stori za LISSU kila wakati.Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.
Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.
Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka π
Mungu Ibarki Tanzania
Relax gentleman,Umeachana na stori za LISSU kila wakati.
Umeona umeshindwa na waliokutuma.
Sasa umehamia kwenye ramli nyingine.
Gentleman,Bob Marley βyou can trick people sometimes, but you canβt trick people all the timeβ.
Nchimbi hana uwezo, ni kwamba hakuwa priority ya usalama wa taifa (na wenyewe ni watu wa hovyo). Hawana analysts ni taasisi ya hovyo.
Lakini sasa yupo kwenye rads zao kama mtu hatari kwa national security (watch this space), hata kama kaweka mngoni mwenzake on top kwenye national security.
Watamshughulikia tu
Usalama wa taifa ni βsΕΓ³w horsesβ ila alipofikia Nchimbi ni swala la muda tu watampa pipi yake (Watch, this space).
He is not that clever, zaidi ya uhuni wa kishamba tu.
Huwajui Watanganyika. Kaa kimya hujui kituNingependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.
Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.
Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka π
Mungu Ibarki Tanzania
Imezoeleka katika Si-hasa za Nchi hii kwamba mtu akishakuwa Makamu wa Rais au Waziri Mkuu basi URais atausikia kwenye π» tu. !! π³π³Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.
Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.
Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka π
Mungu Ibarki Tanzania
mazoea ni utumwa mbaya sana dah!Imezoeleka katika Si-hasa za Nchi hii kwamba mtu akishakuwa Makamu wa Rais au Waziri Mkuu basi URais atausikia kwenye π» tu. !! π³π³
Hahahahakua huru,
unaweza kujenga hoja kwa asie CCM pia, but ni muhimu kuchukua hoja hiyo hapo juu kwa uzito mkubwa zaidi kwasasababu hiyo ndiyo future ya Tz miaka 15 ijayo gentleman π
Wewe despot, umezoea "status quo"? Umeyaona ya jana? Nyakati zinabadirika, demography inakua nyingine, siyo ile ya '47, na ujue Vijana sasa wanakua wemepata elimu, na wasomi wakipata elimu wana-tend kua na uelewa wa haki zao; ndiyo maana jana umeona Lisu alivyoshinda na Mbowe (Mwamba) kusimama na kukubali matokeo.Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.
Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.
Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka π
Mungu Ibarki Tanzania
mimi sio promotor gentleman,Mbona haumpi promotion sasa kutwa kucha upo na Mbowe na Lissu? Umesahau agenda gentleman?