Hussein mwinyi, au nchimbiNingependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.
Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu akaanza kulalamika ooh mtaalamu mbobevu wa masuala ya siasa mbona hukusema haya mapema n.k. chukua point hiyo sasa.
Na kwa maelezo na uchambuzi wa kina zaidi, nitaeleza kinagaubaga katika wakati muafaka π
Mungu Ibarki Tanzania
hujui kwasabb kwanza huna utashi ambao ni zawadi kila mtu kapewa na Mungu bure,Haya maneno ulipaswa kujiambia wewe unaepanga nani awe nani nchi hii miaka 5-10 ijayo. Mimi sijui hata kesho kama nitakuwepo hivyo ndio nakuuliza wewe ulishakubaliana na huyo Mungu ulientaja kuwa huyo unaempambania atakuwepo hip 2030?
Unaruka ruka huna hoja uchawa tu unakusumbua mpaka umeanza kutaja majina ya watu katika harakati za kujipendekeza.hujui kwasabb kwanza huna utashi ambao ni zawadi kila mtu kapewa na Mungu bure,
Lakini pia huna imani kwa Mungu, huenda unaamini ushirikina ndio maana huna hakika na kesho yako.
Maana yake hufahamu ya kwamba kuishi ni Kristo na kufa ni faida.
Ninaamini Mungu ndio maana naweza kupanga tena kwa uhakika kabisaa kesho nitasafiri na kurudi next week,
si hivyo tu,
mwaka ujao by December nitapaua nyumbani yangu ya bunju,
Na katika uongozi wa Taifa hili kwa Neema na Baraka za Mungu mtajwa kwenye hoja mahususi ndie kiongozi mkuu wa Taifa hili ajae π
hapatakua na suala la iwapo wakati huo gentleman.DR. Emmanuel Nchimbi ndiyo agenda ya taifa kwa mwaka 2030-2040.
Iwapo fomu zitatolewa nyingi na ccm, na upigaji WA kura,uwe sawa na uchaguzi alio usimamia Freeman Mbowe
hapatakua na suala la iwapo wakati huo gentleman.
Hata hivyo bilashaka unafahamu mabadiliko ya katiba ya CCM 2025, right?
Dr.Emmanul Nchimbi ni national agenda 2030-2040 full stop.π