Nakumbushia wakuu aliye na connection ya kazi ya ulinzi (kampuni/private personel) anisaidie

Nakumbushia wakuu aliye na connection ya kazi ya ulinzi (kampuni/private personel) anisaidie

Habari!
Rejea kichwa cha habari,
Jinsia;Me
Umri;28 yrs old
Mafunzo;JKT
Uzoefu wa kulinda;3yrs
Vituo nivyolinda;Julius Nyerere hydropower project (JNHPP),some of TRA offices &some of petrol stations
Elimu;kidato cha 6, chuo but #dropuot, pia ninacho cheti cha clearing &forwarding kutoka chuo cha usimamizi wa kodi (ITA),kama naweza pata intern niko tyr
lugha;Fresh (kawaida),English &kiswahili
Makazi;Kimara-dsm
niko tyr kupangiwa kazi sehemu yoyote
Asanteni sana.
Mkuu kwenye mradi.wa jnhpp umefanya kazi kwa muda gani?
 
vvm

Prince Mhando

Hao hapo waambie wakupe connection
Ongea nao hao hapo Walinzi wenzio wakupe ABC za wapi uanze na wapi umalize
Nimesha wasiliana nae mkuu...kwakweli inapo bidi kutoa helping hands tuwasaidieni awa wenye uhitaji😭😭😭

Mtaani pagumu sana...akifuata niliyo muelekeza huu mwezi kabla haujaisha atapata kazi...!

Na nitafurahi sana kama atarudi kutoa mrejesho...!​
 
Back
Top Bottom