Nakumbushia wakuu aliye na connection ya kazi ya ulinzi (kampuni/private personel) anisaidie

Poa basi mpe connection dogo mpige hela Si Tambo na tupu
 
Naomba namimi nikushauri japo sina kitu pambana utafute laki 3 na wadhamini 4 ukishapata hiyo kazi ya ulinzi nenda kwenye makampuni ya pikipiki yanakopesha boda kwa kianzio cha laki 3 na marejesho kila siku ukimbie barabarani kazi ya boda inakupeleka sehemu nyingi ambazo unaweza ona fursa
 
kampuni gani hiyo
 
Motivation speaker..wewe utakua sehemu ya wale top kwenye kampuni mnayo wanyonya hawa wa nchini .ukwel au jifichi walinzi wana maisha magumu mshahara mdogo nao ni omba omba tu imagine una toa pesa ATM mtu ana omba buku , utazani ATM ina toa buku buku
 
Motivation speaker..wewe utakua sehemu ya wale top kwenye kampuni mnayo wanyonya hawa wa nchini .ukwel au jifichi walinzi wana maisha magumu mshahara mdogo nao ni omba omba tu imagine una toa pesa ATM mtu ana omba buku , utazani ATM ina toa buku buku
Uwezo wako wa kufikiri umefikia hapo, kampuni yoyote ya ulinzi haitaji motivation speaker kwa ajili ya kupata staff au walinzi, kwanza kila siku ukipita nje ya mageti ya hizo kampuni graduates wamejaa wakitafuta hizo nafasi, sasa motivation speaker wa kazi gani?
Pili mimi nilishavuka hiyo stage ya kufanyia security firm ilipwe alafu ndo mimi nilipwe.
Tayri niko steji ambayo taasisi akinihitaji tunakaa mezeni wanaweka mzigo mezani tunakubaliana.
Kwa kukusaidia hebu jaribu kufanya research yako mwenyewe ili kupata mshahara wa security manager ambaye ni satisfied, anzia kwenye makampuni ya simu, mabenki, viwanda, migodi, mahospital kama Agakhan nk. Ukipata jibu utajiona wewe umechelewa kufaham mambo. Yaani nitoe pounds 750 kusoma certification ya security, nije Nebosh na OSHA alafu Red Cross kwa ajili ya huduma ya kwanza alafu nikaajiriwe tena na kampuni ya ulinzi?
Mwisho makampuni yote yanalipa mishahara kutoka na sheria ya kazi ya nchi yako ambayo inataka kampuni za wazawa kulipa 180K plus OT na International Co 300K plus OT, hivo siyo issue ya kampuni bali nchi yako.
Mimi nilitoa ushauri anawajibu wa kufuata au kubaki na mawazo mgando kama ya kwako.
 
Sawa motivation speaker wapambanie walinzi wenzako
 
Sawa motivation speaker wapambanie walinzi wenzako
Kawaida mnajifanya kudharau kazi wakati mnaishia kuangalia TV sebuleni kwa shemeji zenu. Ulinzi ni kazi kama kazi nyingine ndo maana unaona zinatangazwa kazi wanatakiwa watu wenye degree. Unamdharau vipi mtu ambaye ana take home ya milioni 5 mpaka 10 kisa tu mlinzi, ukapimwe mkojo wewe.
 
Mtu mwenye take home ya Ml 5 hadi 10 hawezi ku argue kijinga kama wewe .wala kuwa na mihemko ya kitoto na kuandika mashairi marefu ambayo ni unnecessary na meaningless, we ni mvuta fegi mmoja tu nyuma ya keyboard

Kanywe uji totoh bando liki isha useme .
 
Brother Kila kazi Ina pesa Sema opportunity ya kupata nafasi sehemu wanayolipa vizuri ndo issue ndo maana hata wewe unatoa Tambo tupu na kuishia kumotivate dogo bila msaada wowote
 
Well mi na nina argue kijinga mbona bado kila ukiokota bundle unakuja kwenye uzi? mi nadhani mjinga utakuwa ni wewe ungekuwa mwelevu nimekupa task dogo sana nenda fanya utafiti wako, ukipata jibu rudi hapa. Unataka hautaki mimi niko kwenye hiyo level ya mshahara bata wahed, Aliyeomba ushauri kuna kitu amepata ile wewe mjuaji mpumbavu ndo bado unaangaika mara motivation speaker mara umeenda ATM kutoa hela mlinzi kakuomba hela.
Mtu mwenye kipato kikubwa hawezi kuendesha maisha kwa hela ya kutoa ATM mashine.
Ni kawaida maskini kama wewe kuendelea kuwa maskini kwa kujifanya kuwa matajiri ili hali matajiri wakiendelea kuwa matajiri kwa kujifanya maskini. Isitoshe huenda hata huo mshahara wa laki 3 hauna.
 
Brother Kila kazi Ina pesa Sema opportunity ya kupata nafasi sehemu wanayolipa vizuri ndo issue ndo maana hata wewe unatoa Tambo tupu na kuishia kumotivate dogo bila msaada wowote
Sina cha kumsaidia na siamini katika connection, naamini katika uwezo wa kupambana kwa sababu hakuna mtu atakayekusaidia kufanya kazi. Kwa nini tuishi kwa kuamini connection? mimi sihitaji kumotivate mtu ila naongea uhalisia niko kwenye Cooperate firm kwa zaidi ya miaka ishirini nina ijua nje ndani.
Hata ajira za kawaida ikiwa umetafutiwa kazi lazima tu mwisho wa siku uchemke, toka tembea tafuta kazi lazima utajikuta mahali, lakini endapo utaishia kukaa kwenye sofa na smart phone mkononi ukihitaji huruma ya connection nakupa pole.
BAHATI mbaya wewe unaamini msaada ni kuitwa kwamba njoo fanya kazi hapa, msaada ni pamoja na mawazo, utaratibu nk
 
hebu anagalia kwanza niko JF tangu lini? alafu angalia katika siku zote hizo kuna siku niko offline? Angalia vizuri jina alafu jaribu kuangalia users online kila unapokopa bando. Bahati mbaya pia nimechelewa kuona Avatar yako kumbe ni bangi ndo zinaongea.
 
Kumbe na angaika na mtu anae lipwa cash mkononi .nonsense ukweli ni uo walinzi wana maisha magumu mshahara mdogo una motivate mlinzi kwenye level ambayo hatowahi kufika wala we dalali uja fika ume elewa..

Na log out
 
Kumbe na angaika na mtu anae lipwa cash mkononi .nonsense ukweli ni uo walinzi wana maisha magumu mshahara mdogo una motivate mlinzi kwenye level ambayo hatowahi kufika wala we dalali uja fika ume elewa..

Na log out
Hatuwezi kuwa wote machinga narudia tena mtu mwenye uwezo na msuli wa kifedha hawezi toa hela ATM, ukiona mtu anatoa hela ATM huyo bado hana uwezo wa kumdharau mlinzi au mfanyakazi wa ngazi yoyote
 
Mkuu nimepita pm kwako ukiwa na time nicheki kuna inshu nataka tuongee
 
MUNGU AKUPE HAJAYA MOYO WAKOO NDUGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…